Hakuna mwenye CCM, kinachofata kitaduwaza wengi

Hakuna mwenye CCM, kinachofata kitaduwaza wengi

Labda JWTZ watanipa kombania mbili nifanye hiyo kazi.
One,two,three,four.....hard core criminals wangapi wapo katika hii cabinet?
 
Hamna kitu kisicho kuwa na wenyewe , hata cdm inawenyewe, ndo Mana pale mtu anapojaribu kuonja simu ya uenyekiti kwa kuilamba hata maziwa yanagonga hayafanyi kazi.
 
Wasukuma walituharibia sana nchi yetu. Wazee walidharirishwa sana, vijana tulibambikiwa kesi za kumtukana jiwe. Yaani mambo yalikuwa hovyo kabisa.

Tunaomba Mungu mbali na kutukomboa lakini wale waliohisika wakamatwe.

Hii hata Sabaya katika utetezi wake anasema alikuwa anatumwa na yule muovu shetani.
Mbona Hanna furaha, yule mliye muua kafa, lakini bado mioyo yenu inatapatapa.
Kweli damu yake haikuwa na hatia itawasumbua kila uchao.
 
Anayefikiri CCM ina wenyewe anapoteza Muda na huenda haijui CCM.
Kama CCM ina wenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama....
Ila ikiwa mwanzilishi wa hili Taifa familia yake haipo popote basi tulieni muone kitatokea.
CCM inawenyewe...!!
 
Mzee mohamed said mpe somo huyu kuna mtu kaianzisha Tanzania!?
 
Anayefikiri CCM ina wenyewe anapoteza Muda na huenda haijui CCM.
Kama CCM ina wenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama....
Ila ikiwa mwanzilishi wa hili Taifa familia yake haipo popote basi tulieni muone kitatokea.

CCM ni chama kikikubwa ilimradi kuijua falsafa yake. Mporimpori alipewa chama akakitia shimoni acha wenye kuijua falsafa ya chama wakiendeshe chama.
 
Let us pur it this way. Wanajeshi wanajua kwamba familia ya Nyerere inaishi maisha ya hovyo,hovyo,hovyo kabisa. Isifikiriwe kwamba hawajui. Siyo jwtz tu. Majeshi yote yanajua kwamba familia ya Nyerere inaishi maisha ya ovyo. And this will be a little bit baffling to them,discocerting as they watch all these people with their flashy suits and flashy cars.
Whether something might happen,I don't know. Kama hii ni achilles heel ya hii serikali,I don't know.
 
Hiki chama mwanzoni tuliaminishwa kuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi!

Ila kwa awamu kadhaa sasa kimeingia kwenye mikono ya watekaji wabaya na makatili kupitiliza.
Watekaji wa kwanza walikuwa ni matajiri na wafanyabiashara wakubwa (akina Rostam Aziz, Lowasa, and Co. Ltd), Baadaye wakaja Sukuma Gang wakishirikiana kwa ukaribu na Mataga na waimba mapambio! Na kwa sasa chama kipo mikonono mwa Wakojan na Msoga Gang!!

Yaani ni bandika bandua! Hatupewi kabisa wasaa wa kupumzika! Na hawa watekaji wote wapo kwa ajili ya maslahi yao tu! Na siyo kwa ajili ya maslahi ya Taifa. Katiba Mpya ya Wananchi kwa sasa haikwepeki.
Wanafuata utaratibu wa St Petersburg na Pyongyang.
 
Back
Top Bottom