Hakuna mwenye CCM, kinachofata kitaduwaza wengi

Ngoja tuone...
Dogo rudisha hii avatar picha yako ya mwanzo mwanzo
Screenshot_20211230-153012.jpg
 
Anayefikiri CCM ina wenyewe anapoteza Muda na huenda haijui CCM.
Kama CCM ina wenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama....
Ila ikiwa mwanzilishi wa hili Taifa familia yake haipo popote basi tulieni muone kitatokea.
Kati ya wenye CCM Leo,familia ya Nyerere haimo mkuu!Ni family friend TU,kama ilivyo kina Kawawa !
 
Anayefikiri CCM ina wenyewe anapoteza Muda na huenda haijui CCM.
Kama CCM ina wenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama....
Ila ikiwa mwanzilishi wa hili Taifa familia yake haipo popote basi tulieni muone kitatokea.
Ccm ina wenyewe,na jk ndiye mwenye ccm kwa sasa!
Nyerere alishonora mno akadhania kila anayemzunguka ni kondoo kama yeye!
Akafa akawaachia mbuzi ccm!
Kikwete ndiye don hapa mjini utaki hama!
 
Hiyo kauli ilisemwa hadharani na Mama Samia kwenye mkutano mkuu wa CCM.

Una maana ya kuwa mwenyekiti hakijui chama chake vizuri?
Samia anajua NGOs hakijui Chama wala serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.Jamani hata Ridhiwani anakuwa Waziri!No,hii haikubaliki,hatuwezi kuchezewa namna hii.Viongozi wenye uchungu na nchi hii mko wapi?
 
Anayefikiri CCM ina wenyewe anapoteza Muda na huenda haijui CCM.
Kama CCM ina wenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama....
Ila ikiwa mwanzilishi wa hili Taifa familia yake haipo popote basi tulieni muone kitatokea.
Mbona hueleweki?!!!
 
Samia anajui NGOs hakijui Chama Wala serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.Jamani hata Ridhiwani anakuwa Waziri.No,hii haikubaliki,hatuwezi kuchezewa namna hii,viongozi wenye uchungu na nchi hii mko wapi?
Wacha tu ajichukulie ardhi ya kutosha kwa ajili ya petrol stations
 
Anayefikiri CCM ina wenyewe anapoteza Muda na huenda haijui CCM.
Kama CCM ina wenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama....
Ila ikiwa mwanzilishi wa hili Taifa familia yake haipo popote basi tulieni muone kitatokea.
Leo zamu ya Nani kusafisha kabuli hapo chato?

Wewe au Suzy Elias?

Tulia ivo ivo, soon kuna uchunguzi wa kifo cha Ben Saanane unaenda kuanzishwa! Mtaita maji mmaaa safari hii
 
Hizi ndio kauli za kiume tunazotakiwa kuzisikia saa hi,
Nna haakika macomrade wazalendo wazee kwa vijana wanaandaa pigo moja la mwisho kuondoa kabisa upumbavu huu tulioushuhudia wote,
Nasi sote tupo nyuma yao,
 
Anayefikiri CCM ina wenyewe anapoteza Muda na huenda haijui CCM.
Kama CCM ina wenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama....
Ila ikiwa mwanzilishi wa hili Taifa familia yake haipo popote basi tulieni muone kitatokea.
Wewe CCM INAWENYEWE FAMILI YA NYERERE NDIO WALIINYANG'ANYWA CCM IKAENDA KWA WENYE NAYO

MPAKA SASA WANAYO ANGALIA SEMA UNAUELEWA MDOGO
 
Leo zamu ya Nani kusafisha kabuli hapo chato?

Wewe au Suzy Elias?

Tulia ivo ivo, soon kuna uchunguzi wa kifo cha Ben Saanane unaenda kuanzishwa! Mtaita maji mmaaa safari hii

Wakati unafungua mafile angalia umesimamia wapi isije ikawa matundu ya vyoo mliojenga kwa msaada wa Corona..utadumbukia bwashee halafu itakuwa haipendezi..
 
Back
Top Bottom