Habarini za wikiendi,Licha ya kuwa nimetingwa na majukumu makubwa ya kujenga taifa letu hili, Leo imenibidi nitinge humu ili niwaeleze kuwa nimesikitishwa na nimezalilishwa sana na huu uzi. ambao sina idea nao. Manoah u r right this is not me.Kuna mtu atakuwa amehak akaount yangu.Naomab ile kamati ya anti hackers ichukue nafasi yake . Nakama haipo basi iundwe. Mwnyekiti hebu shughulikia hili suala likikushinda nadhani nianze kampeni ya kukutaka ujiudhuru hiyo nafasi.Nitarudi mida ya saa Tatu au Nnne usiku, ngoja nimalizie shughuli za kulijenga taifa letu.cc: Chocs, Erickb52, Nivea, Passion lady, Sweetlady,Kakakiiza, Lachicaguapa, Arushaone, Mr Rocky, Charminglady, Baba V, Chimbuvu, wat8, mamndenyi, kipipi, Mr. Rocky Manoah, Preta, Judgment, Arabela, Bujubuji, Madame B, Dena amsi, Saudari, Filipo, sweetlady, Asnam, Natalia, Nyaningabo, Ndetichia, Sisimizi Shujaa, Ruttashbolwa.