Nampenda Huyu Mwanamke Kupita Maelezo...

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,489
Reaction score
18,379
Ni huyu shansarie..

Wandugu na Msio wandugu, niwaambieni tu kuwa huyu ndiye
Anayenidatisha sijui nijifananishe na nani humu ndani

Nikisema labda Filipo na marejesho..mh! hawafikii

Nikisema labda ni kama Arushaone na Lady doctor bado hawafikii nusu..

Au niseme ni kama sosoliso na Paloma hamna, ntakuwa nakosea!!

Hata wale wakisiri siri baaado hawafikii,

Pengine Chocs na Erickb52, hataaa! hawa wanafikia labda nusu na robo

Kuna kipindi ilibakia kidogooo Mr Rocky angefikia lakini wakashindwa na Dena wake..

My mama Mamndenyi wewe ndiyo unaweza kufikia kwa 90% coz
unajua kupenda na kulea pamoja na kuvumilia sana..

Sema Huyu bepari Bishanga anashindwa kuufungua moyo wako kabakia na
The secretary anayejua kuvumilia upweke..na kuwaruhusu kina Zahra White na yule Mrs
kulia lia njaa kwa mumewe

Mkuu watu8, we ndiyo sitaki hata kujilinganisha na wewe...sipendi kushindwa!!
Ruttashobolwa ni loya imara sema siku hizi maujanja siyo mengi saana na kwenye love hakuna sheria so u loya pembeni dismynder1 naona ataumia tu kwa huyu jamaa kwani ana mpango wakuwaachanisha Paloma na mwenzie..

Kweli sina maelezo yakutosha kuelezea coz hata mifano humu siioni...

wanamapinduzi rudini jamvini bana na Mutambuwe Kuwa Baba V bado ni mwenyekiti mpaka hapo kamati ya akina Chimbuvu itakapoitisha tena uchaguzi..
Nivea, Mrembo by Nature come this way we need peace kwa kweli.. Madame B hope ushapoa sasa and no more revolution..
amu hebu niitie Kaizer aje kama anaweza na yeye kujifananisha!!

Heaven on earth ulisikia mapinduzi ukachapa jaramba..no more revolution!! come back
mimisa the house is cool now..
shansarie..nakupenda kupita maelezo!! wala usiogope juu ya Smile!!!
let the CC world wajue hili
.......
images
............

CC; Arabela, Himidini, UNDENIABLE,
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh ulisikia lini mapinduzi yanaisha?hata ukiona kimya ujue yamebaki moyoni watu wanapanga mbinu mpya na iko siku yatalipuka kama bomu. Usijiamini sana musee.
 
Najiamini Best..bora uanze kujipanga kwa kampeni na siyo mapinduzi..
 
CC; Arabela, Himidini, UNDENIABLE
,

Jamani kiwatengu....mpende mpenzi wako, ukipata nafasi ya kumpenda mpenzio mpende mpaka ulimwengu wote ujue.
Sie wengine waume zetu ni chenga......kutwa wako juu juu kama wameshiba futari ya magimbi.

CC: Chilli..., tedo.... Ben Saanane... Remote...na wenzako.
 
Teh teh teh teh ulisikia lini mapinduzi yanaisha?hata ukiona kimya ujue yamebaki moyoni watu wanapanga mbinu mpya na iko siku yatalipuka kama bomu. Usijiamini sana musee.

Kama Pesa anazo, lazima ajiamini.
 
mkuu kiwatengu salamu zako nimezipata,

labda hutembelea jukwaa la MMU mara kwa mara lakini kule nina mke wangu AshaDii ndoa yetu ina muda mrefu sana, sema siye tushakuwa watu wazima hatuna vibweka vya hawa vijana wa siku hizi

na Mke wa Mwita Maranya ni msiri wangu pia anaitwa mwaJ, na nina ma niece hapa wakiongozwa na Mwali, na husninyo, wanahakikisha mimi ankal wao sipati shida ndogo ndogo.

kwa hiyo nakuombea ndugu yangu ndoa yako na shansarie idumu iwe kama ya kwetu.
 
Safi sana mkuu, uko juu sana..afu kuna siku huyu Husninyo aliniacha kwenye mataa ati!!

Na kusalute uko vyema sana..na watu wako wa ukweli..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom