Hakuna mwanaume yeyote humu CC / JF .......

Hakuna mwanaume yeyote humu CC / JF .......

namtafuta Bishanga this weekend nataka nimlipe deni lake la 1billion alonkopesha tunakutana pale mahakama ya kisutu,ndio hayo tu!una lingine wataka kujua!?
Cc:: Bishanga

nitakuja chukua badala yake,changu chake, chake changu
 
Last edited by a moderator:
Sasa mtoa mada si ungetwambia na mwanamke mwenye furaha kuliko wote.
Na wewe chardams nini siri ya furaha yako? Sema tu , au kama ndiyo umepewa "Kabaaang" kwa mara ya kwnza, au?
 
Last edited by a moderator:
Shem , kunani hapa ? Mi ndo nimeudandia huu uzi sasa hivi, nakutana na kukunana!
En'hee mikuno ya nini/nani?
Nani anakuna/kunwa? Makunaji yamekaa vipi hapa?
shemeji yangu huyu chardams kaleta tafrani
amesema hakuna mwanaume JF/CC anaepata raha kama yy
raha yenyewe ni ya kukunwa!sasa mwanaume anakunwa?
ametutia mashaka huyu kiumbe basi tu!
 
Last edited by a moderator:
kwani nilipewa na wewe he mwanamke unabana hata kwa sie wanaume wenzie mimi ni mwanaume ujue hivooo
cc: Bishanga
Heeee....... We Nivea huu sasa ni wizi wa hadharani khaaaaaa!!!! We mwanaume?????? Lol
 
Last edited by a moderator:
kwani nilipewa na wewe he mwanamke unabana hata kwa sie wanaume wenzie mimi ni mwanaume ujue hivooo
cc: Bishanga
Hehehehe kumbe we mwanaume?
Futa kauli kabla sijasema ulikuwa unakunwa na KakaKiiza km mwenzio Char bloods
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom