" Hakuna mwanaume mwenye ubavu wa kuniacha..." Dida

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,842
2,000
Dida1.jpg
MTANGAZAJI wa Redio Times FM, ya jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ amefunguka kuwa, hajawahi kuachwa, mara nyingi huwaacha wanaume

Akiongea na mwandishi , Dida alisisitiza kuwa katika ndoa mbili alizopitia alishtuka mapema baada ya kuona maelewano na waume zake yanakwenda mrama, fasta akabwaga manyanga.

“Mimi sijawahi kuachwa, huwa nawaacha, unajua miye ni mtu ninayependa amani muda wote na sitaki kusumbuliwa katika maisha yangu,” alisema Dida.Jamani ninawauliza swali je ni kweli anavyosema bibie Dida? Mnae mjuwa bibie Dida tupeni habari zake.
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
193,759
2,000
ngoja nimalizie ze bingwa yangu nikaamkie kwangu
ya ngoswe nimemwachia ngoswe
mnying'inyio ukiisha/nikizimua nitarejea
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,723
2,000
Alikuwa Dida wa Mchops...akaja akawa Dida wa G....sasa hivi sijui ni Dida wa nani?

Ila kauli kama hiyo nshawahi kuisikia kutoka kwa mdada mmoja wa Ki-Congo.

Alinitamkia kabisa 'Ngabu, mimi sijawahi kuachwa na mwanaume'.

Lakini mdada mwenyewe ni mmoja ya wale wanaodhani kila mwanaume anamtaka.

Yaani kwa mfano akisalimiwa na mwanaume halafu huyo mwanaume atake kufanya small talk yeye anahitimisha kuwa anatakwa.

Wakati mwingine huwa nadhania labda ana matatizo ya kisaikolojia hivyo anakuwa anajaribu kujiaminisha mambo ambayo ni sivyo ili kunyanyua self-esteem yake.
 

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
7,714
2,000
[h=3]" HAKUNA MWANAUME MWENYE UBAVU WA KUNIACHA....."DIDA[/h]


MTANGAZAJI wa Redio Times FM, ya jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ amefunguka kuwa, hajawahi kuachwa, mara nyingi huwaacha wanaume

Akiongea na mwandishi , Dida alisisitiza kuwa katika ndoa mbili alizopitia alishtuka mapema baada ya kuona maelewano na waume zake yanakwenda mrama, fasta akabwaga manyanga.


“Mimi sijawahi kuachwa, huwa nawaacha, unajua miye ni mtu ninayependa amani muda wote na sitaki kusumbuliwa katika maisha yangu,”
alisema Dida.Jamani ninawauliza swali je ni kweli anavyosema bibie Dida? Mnae mjuwa bibie Dida tupeni habari zake.

mi najua anatoa ****, sasa mzee kama mtu anatoa **** Kwa moyo Kwa nini umuache bwana? miguu ufito, shape Michelin sasa wa kazi gani kama si Tigo?
 

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,842
2,000
Wabongo nyie mnamuonea wivu Dada yangu Dida anawacha njiani wanaume kwa uzuri wake jamani muacheni na uzuri wake wenye vijisenti wanamgombea anawaacha kwenye mataa ya Trafic fire karibu na kiabu ya Yanga jamani mwehhhhhh......
 

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,292
2,000
Wabongo nyie mnamuonea wivu Dada yangu Dida anawacha njiani wanaume kwa uzuri wake jamani muacheni na uzuri wake wenye vijisenti wanamgombea anawaacha kwenye mataa ya Trafic fire karibu na kiabu ya Yanga jamani mwehhhhhh......
kwa kipi babu wee
kuku wa kuchora tu huyu
hatagi,hawiki,hatikisiki!
 

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
24,392
2,000
Haijalishi kama hao wanaume huwa wanamuacha au huwa anawaacha, to me kitendo cha wewe mmoja kuachana na wanaume wawili au zaidi tofauti ni lazima ujicheki. Haiwezekana wawili uwaache halafu bado ujione una tabia nzuri. Kwenye kuachana lazima kila mmoja anakuwa anakuwa amechangia asilimia fulani, lakini unapoachana na kila mtu basi asilimia ya mchango wako inakuwa kubwa kuliko ya hao inaodai unawaacha. Na kama hajui kwa nini anawaacha jao anadai anawacha basi ataachana na kila atakayeolewa naye.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom