" Hakuna mwanaume mwenye ubavu wa kuniacha..." Dida

Hizo ni lugha za ujana, jua likisogea kidogo tu atagundua siri za maisha na atajutia sana fursa alizopoteza kama mwanamke.
 
Hajawahi kuachwa kwa sababu hajawahi kupendwa na mwanamume - na - huo mwonekano wake dah...! Natumaini huyu huwa anaachwa sana...!
 
Alikuwa Dida wa Mchops...akaja akawa Dida wa G....sasa hivi sijui ni Dida wa nani?

Ila kauli kama hiyo nshawahi kuisikia kutoka kwa mdada mmoja wa Ki-Congo.

Alinitamkia kabisa 'Ngabu, mimi sijawahi kuachwa na mwanaume'.

Lakini mdada mwenyewe ni mmoja ya wale wanaodhani kila mwanaume anamtaka.

Yaani kwa mfano akisalimiwa na mwanaume halafu huyo mwanaume atake kufanya small talk yeye anahitimisha kuwa anatakwa.

Wakati mwingine huwa nadhania labda ana matatizo ya kisaikolojia hivyo anakuwa anajaribu kujiaminisha mambo ambayo ni sivyo ili kunyanyua self-esteem yake.

100% true, its a psychological situation, where a subject yearns for a recognition in the society. Most of the times, the subect tries to hide a very serious personal defect! It is a disease
 
kioo chake nadhani kinamdanganya hapo ndo full kujiremba anatisha namna hiyo, sasa imagine ndo mmeamka asubuhi jicho la kwanza linaangukia kwa huyo ajuza, wallahi ndoa unaivunja kimya kimya
 
Mfumo dume @ Work......
Ni nani alisema mwanamke hana uwezo wa kumuacha mwanaume...?

Ikiwa sheria za dini na hata nchi zinaruhusu mwanamke kumuacha mwanaume kama anaonekana kwenda kinyume na taratibu za ndoa................ sasa ni kipi cha ajabu hapo...
 
Kweli Mtambuzi nashukuru umelijua hilo....mimi mwenyewe namuunga mkono Dida...wanawake wengi wanaachwa kwa kuwa hawajuhi kusoma alama za nyakati...aka ving'ang'anizi...mimi mwenyewe sijawahi kuachwa; na hii inapunguza maumivu na kuyaamisha kwa ninaye mwacha....napiga chini faster nikiona mtu kaanza kuwa kimeo.

Unajua wanaume wengi ni wagumu saaana kuacha ...ndio maana nasema wanaosubiri kuachwa ni ving'an'ganizi na ndio wasiojiamini. Wanaona akiniacha Juma basi tena mi nimedoda....one needs to know when to stay and when to walk away.

BIG UP DIDA
Mfumo dume @ Work......
Ni nani alisema mwanamke hana uwezo wa kumuacha mwanaume...?

Ikiwa sheria za dini na hata nchi zinaruhusu mwanamke kumuacha mwanaume kama anaonekana kwenda kinyume na taratibu za ndoa................ sasa ni kipi cha ajabu hapo...
 
ukute mnahangaika kudiskas mtu ambaye hata yeye akijisikiliza hajielewi anaongea nini.
 
Mfumo dume @ Work......
Ni nani alisema mwanamke hana uwezo wa kumuacha mwanaume...?

Ikiwa sheria za dini na hata nchi zinaruhusu mwanamke kumuacha mwanaume kama anaonekana kwenda kinyume na taratibu za ndoa................ sasa ni kipi cha ajabu hapo...

Dini zipi?
 
Anaongea sana huyo, anaolewaje na wanaume asiowajua tabia?

Mkuu wanaume nasisi sometimes tunaingiaga vichakani kwa kujitakia, huyo dada kwa macho tu anaonekana hajatulia leo uingie hapo hata ukiachwa huna haja hata ya kwenda kwa mjumbe.
 
Mjini kuna pilika! Kumbe keshaolewa twice? Na hao wanaume anaoacha mara nyingi ni wangapi? Natamani kumfanyia study.
She is being deserted constructively without her knowledge and in the end she thinks she is the winner, but in reality she is a looser.
 
HHHHHHHHaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aache ujinga hata ukinifungia mguuni wallah nakwambia najinyonga. Kha naye anajinadi eti sijawahi kuachwa! Urembo wenyewe wa dukani!
 
Back
Top Bottom