" Hakuna mwanaume mwenye ubavu wa kuniacha..." Dida

" Hakuna mwanaume mwenye ubavu wa kuniacha..." Dida

Hakika leo nimeamini nyani haoni kundule, hivi hili nung'ayembe nalo linefikia hatua hii ya kujisifia, wakati urembo wenyewe wa kichina naona limesau ule msemo usemao "kuvunjika kwa pakacha...."
 
Wanaume hawapendi kweli kuachwa...angalia comments...full povu...dawa yao hawa ni kuwaacha tu.Lol sio kuwafanya waamini wao tu ndio wanaweza.

Sasa Dida kusema anaacha imekuwa nongwa...hivi hii ni first incidence on earth ya mtu kuacha au kwa kuwa ni mwanamke...stukeni wadada
 
Akiongea na mwandishi , Dida alisisitiza kuwa katika ndoa mbili alizopitia alishtuka mapema baada ya kuona maelewano na waume zake yanakwenda mrama, fasta akabwaga manyanga.

Duuh.. Kwa mtindo huu c atamaliza mipododo yote ya mjini hapa..! Maana wanaume wengi wanampododo kwa kuwa ana kaumaarufu kisha wanasepa.. Sasa anachofanya yeye akishapopodolewa halafu cmu ikawa haipokelewi anawahi kum-dump..
 
ngoja nisubiri lala 1 atasema nini juu ya hili:shut-mouth:
 
Ni vigumu kupinga kauli yake maana yeye ana hukika anao kutana nao hawana ubavu wa kumuacha!
 
Vimeo vingine vya ajabu sana..! Kijitu kimetumika kotekote halafu kinatuletea story za udaku. Iko hivi videmu kama hivi huwa ni outing moja tu at a decent place na kanakutanulia miguu faster na baada kuliwa unakatafutia vijisababu ili kakupige chini halafu kesho kanatangaza kuwa kamekumwaga.
 
Koh koh ! Taarabu @work

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hana jipya huyo, akishashtukia anaachwa ndiyo anaondoka!
halafu ana matatizo
 
Haya, wewe endelea
Usiseme sikukutahadharisha

Gharama ya kumsoma huyu mtu mmoja inaweza ku-cost sanity yako

Sample iko kama kirusi, inabadilika badilika tu

why not? Ndo utamu wa sayansi, retrospective study inahusika hapo, nani aende maporini kuokota samples? Si fungu lote litaishia barabarani?
 
kioo chake nadhani kinamdanganya hapo ndo full kujiremba anatisha namna hiyo, sasa imagine ndo mmeamka asubuhi jicho la kwanza linaangukia kwa huyo ajuza, wallahi ndoa unaivunja kimya kimya
Labda ndio maana jamaa wanasepa nini?
 
Bila kuiona hii picha wala nisingejua hata jina lake ingawa nilikuwa nakutana naye sana sehemu fulani, miezi michache iliyopita. nachojiuliza, mbona wa kawaida tu kelele za nini?
 
Tatizo la mademu wa kibongo ni moja. Katika pitapita mitaani unaweza kukutana na demu ukashtuka kumzania anafanana na mtu umjuaye then ukimsalimia tu utasikia nina njaa au lete habari wewe. Ukijifanya una maneno mengi hapo ndipo utajikuta unafungishwa ndoa ya mkeka. Sasa mwangalieni Dida, sura yake tu mgogoro au labda anababaishwa na mkorogo wake. Kingine, ukiona mwanamke anayetapatapa namna hii basi ujue anajihami kwani haiwezekani wanaume wamwache tu hivi hivi, huyu huenda ana mapungufu fulani kitandani, si bure.
 
Bila kuiona hii picha wala nisingejua hata jina lake ingawa nilikuwa nakutana naye sana sehemu fulani, miezi michache iliyopita. nachojiuliza, mbona wa kawaida tu kelele za nini?



Eti kelele za nini? Yeye kwa akili yake anafikiri mkorogo ndiyo uzuri wa mwanamke. Usimlaumu kwani hajuwi ailifanyalo.
 
maneno ya kujifariji kama unaviwango kwanini ndoa zako zinavunjika ,kuvunjika ndoa ina maanisha ww bomu ndoa mbili zimevunjika bado unajiona kiwango?

mjini shule kweli kweli. ajionae amesimama ajiangalie asijekuanguka,
shida yao kubwa ni midomo mingi, halafu mjanja kumbe Kalaga baoho.
 
Back
Top Bottom