Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 1,264
- 2,043
😀 kwamba yanatafutwa majina mazuri ili kuficha ukali wa maneno, ila maana inabakia ile ile.Umesema kweli mkuu ila ndo jina lililopewa' Kumuhudumia mwanamke'.
NB: ukimpenda mwanamke (possible future life partner), kama hana pesa, sio mbaya we mpe tu kiasi unachomudu, sharing is caring, caring is loving.