Hakuna mwanamke ambaye hajawahi ‘kujiuza’

Hakuna mwanamke ambaye hajawahi ‘kujiuza’

Kumbukumbu zangu zinaniambia hivyo
Ndoa zenyewe mnazowatishia nazo watu sasa🤢🚮
21E1C6CB-EF5A-40B9-8443-53055AEEB622.jpeg
 
Umekutana na mwanaume amekutongoza ukakubali kisha mkaenda kwenye eneo la tukio mlipomaliza ukamuomba hela tayari hapo umeuza bidhaa yako.

Umetongozwa umekubali umeenda kwenye eneo la tukio kabla hujavuliwa chupi unauliza una shingapi tayari umeiuza hiyo bidhaa yako

Hakuna mwanamme ambaye hajawahi kuhonga familia yake?
Ukweli post nyingine sioni hata zikiwa na umuhimu wa kujadiliwa, kama hiyo ya kawako na hii
 
Hakuna mwanamme ambaye hajawahi kuhonga familia yake?
Ukweli post nyingine sioni hata zikiwa na umuhimu wa kujadiliwa, kama hiyo ya kawako na hii
Familia unaihongaje yaan wewe unaanza kumhonga Baba yako?
 
Back
Top Bottom