Sasa hapo anayefaidika ni nani Kati yako na yeye?Me huwa naacha wataje wao bei wanayotaka then me na top up mara 2 yake kama ishara ya heshima na kuappreciate muda wake kwangu
Ikifika saa nane anakwambia kuna sehemu kuna mishkaki ya nundu pale masaki, akila kwa pozi inaganda haitaki tena🤭 mara nipeleke nikanywe vsop😆🤸🏽♀️ Kwakweli kama uchumi wako ni wa kuunga unga bora ukomae na hawa elfu 10 sijui 50🤗
Kwahiyo hii ni pamoja na mama yako mzazi,dada yako na mkeo sio?Umekutana na mwanaume amekutongoza ukakubali kisha mkaenda kwenye eneo la tukio mlipomaliza ukamuomba hela tayari hapo umeuza bidhaa yako. Umetongozwa umekubali umeenda kwenye eneo la tukio kabla hujavuliwa chupi unauliza una shingapi tayari umeiuza hiyo bidhaa yako.
Mwanamke akija kwako low key unamdharau na kumuona cheap, kwahiyo slay queen ametake over ili usimdispise! Mwanamke akija na high class look na mindset ana expect vitu vikubwa kutoka kwako!! Sio kukukomoa tu!Ishu sio uchumi, ishu ni ile hali ya mwanamke kutaka kukukomoa bila sababu ya msingi, mwanamke kumpa pesa ni kawaida, kumnunulia chakula ni kawaida ila asikuigizie au kuwa na hila. Mwanamke atahitaji kula, tunachokataa sisi ni ile hila ya mwanamke kutaka pesa zitumike kwa israfu, kukukomoa au bila sababu ya msingi au kutaka kukuibia kinamna bila hata uhalisia.
Huyo mwanamke wako tayari atakuwa anamaanisha na anajua wewe ni mwanaume wake na wala hana njaa za kishamba na ndiomaana anaridhika kuwekewa mafuta ya 30k, kuna watu kukuheshimu labda umuwekee full tank! Kwahiyo kila mtu ana vipaumbele vyake! Japo kwa hali ya kawaida kama mna mutual connection,feelings wala hakuna ukomoaji, binafsi naweza kuja na nisile wala nisiombe mia yako, inategemea kama unajikuta kwakweli nakukomoa vzr tu, asante..Mfano jana mimi nilikuwa mitaa ya DDC Mlimani park, mwanamke wangu amekuja nisalimia anatokea Kinondoni Hananasif, na ana gari yake. Amekuja tumepiga makange na geji ya mafuta ipo chini, bila kuimba nikamuongezea mafuta kiduchu ya 30k karidhika jioni karudi home. Tunachokataa sisi ni ile "njama" baqdhi ya wanawake wanawake wanatuletea. 😁
Na ndio anapata faida kubwa kuliko wa jumla 😆Kuna wale wanalipiwa mahar wanakua wamejiuza jumla, na anayekula vichwa buku tanotano kila siku kajiuza reja reja
Mwanamke akija kwako low key unamdharau na kumuona cheap, kwahiyo slay queen ametake over ili usimdispise! Mwanamke akija na high class look na mindset ana expect vitu cikubwa kutoka kwako!! Sio kukukomoa tu!
Huyo mwanamke wako tayari atakuwa anamaanisha na anajua wew eni mwanaume wake na wala hana njaa za kishamba na ndiomaana anaridhika kuwekewa mafuta ya 30k, kuna wtu kukuheshimu labda umuwekee full tank! Kwahiyo kila mtu ana vipaumbele vyake! Japo kwa hali ya kawaida kama mna mutual connection,feelings wala hakuna ukomoaji, binafsi naweza kuja na nisile wala nisiombe mia yako, inategemea kama unajikuta kwakweli nakukomoa vzr tu, asante..
Dahh ni kweli, kwa bahati mbaya upande huu tuanelewa mambo tofauti! Tatizo ni ku expect too much!!🙌🏾Hakuna mwanaume amekupenda na hajui kuwa unahitaji upkeep, anafahamu unahitaji kusuka, kuvaa na fedha ya matumizi. Hiyo "high class look" ni sawa ila isiwe manipulative, mwanamke hazuiwi kuwa na "high expectation" popote ila ziwe na uhalisia, zisiwe za kuigiza. Sio kwa sababu upo "high class look" ndio ulete maigizo, kuwa halisi, mwanaume anajua unahitaji mahitaji, yanatakiwa kuwa halisi sio maigizo na israfu katika matumizi.
hio ni swala mtambukaKwahiyo hii ni pamoja na mama yako mzazi,dada yako na mkeo sio?
Jamnii nimepamiss Rs na Bd, ila malindi si ilikuwa eneo la biashara? Kwani bado papo?Tasnia ya mapenzi/mahusiano inapitia mageuzi makubwa, Gen Z hamna uvumilivu kabisa mnatutoa kimasomaso kaka zenu. Zamani tulikua tunahudumia na tunaichapa fresh hatukua tunasema 'tunanunua', kununua ni kama ile unaichapa one time unaweka dau mezani na wanakua na centers zao kama Malindi, Red Stone au Black Diamond.
Vijanaa wana hoja wasikilizwe.
Malindi mchana na usiku ilikua ni maeneo mawili tofauti.Jamnii nimepamiss Rs na Bd, ila malimdi si ilikuwa eneo la biahsara? Kwani bado papo?
Poleni kwa kupelekeshwa gen zee😆
Duhh ni hatari! Kitambo sana!!Malindi mchana na usiku ilikua ni maeneo mawili tofauti.
Miaka gani ulikua kule?Duhh ni hatari! Kitambo sana!!
Dahh ni kweli, kwa bahati mbaya upande huu tuanelewa mambo tofauti! Tatizo ni ku expect too much!!🙌🏾
Holoholo naomba nishauri kitu hapa .. Tukiandika mada za namna hii tunahitaji tafakuri ya kina sana kwakuwa ukishasema "WOTE" ni pamoja na mama zetu na Dada zetu.umekutana na mwanaume amekutongoza ukakubali kisha mkaenda kwenye eneo la tukio mlipomaliza ukamuomba hela tayari hapo umeuza bidhaa yako .umetongozwa umekubali umeenda kwenye eneo la tukio kabla hujavuliwa chupi unauliza una shingapi tayari umeiuza hiyo bidhaa yako