Hakuna mtu mnafiki kama Manyerere Jackton

Manyerere Jackton unapoteza muda wako bure,
humu wengi ni waropokaji na wala si wafuatiliaji wa taarifa.
Jana na leo asubuhi ktk taarifa ya habari ya TBC1, Mwamunyange alionekana
na kuzungumza pia. Wakati wa uzinduzi wa uwanja wa ndege wa kurusha ndege za
kivita huko morogoro. Aliyefungua uwanja huo ni Rais Kikwete. Mwamunyange ameonekana mwenye afya njema na mchangamfu kama kawaida yake. Jeshi halifanyi kazi kwa matakwa ya kisiasa.
Narudia, sija comment uzi wa Ben. Kama hiyo aya ipo, iweke hapa. Acha uzushi. Kuhusu Jenerali, yule hafanyi mambo kwa mihemko ya kisiasa. Muda huu ni sensitive sana. Anaratibu mipango ya kuivusha nchi kwenye uchaguzi mkuu. Hawezi kujiingiza kwenye malumbano yenu yasiyo na kichwa wala miguu. Mtajua kama yupo baada ya kazi. JWTZ si mgambo. Kuweni makini mnapojadili chombo hiki na viongozi wake.
 
Last edited by a moderator:
Manyerere Jackton unapoteza muda wako bure,
humu wengi ni waropokaji na wala si wafuatiliaji wa taarifa.
Jana na leo asubuhi ktk taarifa ya habari ya TBC1, Mwamunyange alionekana
na kuzungumza pia. Wakati wa uzinduzi wa uwanja wa ndege wa kurusha ndege za
kivita huko morogoro. Aliyefungua uwanja huo ni Rais Kikwete. Mwamunyange ameonekana mwenye afya njema na mchangamfu kama kawaida yake. Jeshi halifanyi kazi kwa matakwa ya kisiasa.

Acha kutisha watu wewe tayari tumekubaini kuwa ni muongo! Wananchi tuna haki ya kujadili na kujua kuhusu taasisi yoyote nchini kwa mujibu wa katiba ibara ya 18,JWTZ ni chombo chetu watanzania cha kutulinda na tunaipenda sana JWTZ,Unaposema tuwe makini kwa lipi? JWTZ Siyo jeshi la police linalotumika na ccm,ni chombo kitukufu na cha kipekee kwa hiyo tuna haki ya kujua alipo kamanda wetu mwamunyange,wewe endelea kutumika na ccm wako ambao wamebakiza siku 4 za kuishi ikulu.
 
Last edited by a moderator:
the Counseller umeangalia taarifa ya habari ya TBC1 leo asubuhi?
Ni habari ya kwanza kabisa. Kama hukuangalia tulizana, acha kuita
wengine waongo.

Taarifa yenyewe ktk maandishi ilikuwa hivi:
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais JAKAYA KIKWETE amezindua awamu ya pili ya ujenzi wa uwanja wa ndege za vita uliopo katika kamandi ya jeshi la anga iliyopo NGERENGERE mkoani MOROGORO.

Akizindua ujenzi huo,Rais KIKWETE amesema mazingira bora ya uwanja huo pamoja na kutumika kwa shughuli za kijeshi, yatawawezesha watu kufanya kazi kwa bidii na kuchochea uboreshwaji wa huduma mbalimbali za kijamii katika eneo hilo.

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. HUSSEIN MWINYI amesema kukamilika kwa mradi huo itakuwa ni hazina kwa jeshi la wananchi na taifa zima huku akisisitiza suala la matumizi ya uwanja huo kuboreshwa.

Naye Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Jenerali DAVIS MWAMUNYANGE ameeleza mikakati iliyopo ya kuboresha jeshi hilo, huku mkuu wa jeshi la anga Meja Jenerali JOSEPH KAPWANI akisema uwanja huo utakuwa bora katika nchi za Kusini mwa AFRIKA.

Mradi huo utagharimu kiasi cha dola za kimarekani milion 68 hadi utakapokamilika na unafadhiliwa na serikali ya CHINA ambapo katika awamu ya pili mita 600 zitaongezwa na hivyo kufanya uwanja huo kuwa na mita 3000 mara utakapokamilika

Acha kutisha watu wewe tayari tumekubaini kuwa ni muongo! Wananchi tuna haki ya kujadili na kujua kuhusu taasisi yoyote nchini kwa mujibu wa katiba ibara ya 18,JWTZ ni chombo chetu watanzania cha kutulinda na tunaipenda sana JWTZ,Unaposema tuwe makini kwa lipi? JWTZ Siyo jeshi la police linalotumika na ccm,ni chombo kitukufu na cha kipekee kwa hiyo tuna haki ya kujua alipo kamanda wetu mwamunyange,wewe endelea kutumika na ccm wako ambao wamebakiza siku 4 za kuishi ikulu.
 
attachment.php
 
Alileta thread humu eti mkuu wa majeshi angewasili 16/10/2015.Tukio la mkuu wa majeshi kuwasili kutoka ziara ndefu ya ughaibuni lazima liambatane na kuonekana ktk vyombo vya habari kama TV na magazeti,lakini yote haya hayakuonekana utadhani aliyerudi ni mwenyekiti wa kijiji.

Ben Saanane kaweka uzi kwa kuipa serikali siku 7 mkuu wa majeshi awe kaonekana au la ataanzisha kampeni maalumu ya #Bring back our General.

Anakuja Manyerere na kumponda Ben Saanane akidai eti anatafuta umaarufu humu JF baada ya umaarufu wake kupotea,sasa namuuliza manyerere kama Ben anatafuta umaarufu kwa kitu kisichokuwepo na yeye alisema Jenerali amerudi basi yeye kama mwandishi nguli aweke ushahidi humu au ktk gazeti lake la Jamhuri kuhusu ujio wa Jenerali na siyo kubwabwaja kinafiki humu hana hata aibu,na serikali haiwezi kutoa namba za simu za Msemaji wa Jeshi eti anayetaka kujua alipo Jenerali alipo ampigie msemaji huyo.

Huo ni mtego ili kuwanasa vimbelembele, Manyerere acha unafiki unadhalilisha sana fani ya uandishi,hufai kabisa.

Sasa mkuu ukishangaa ya Manyerere utaona ya filauni Said Kubenea. Mwandishi kanjanja katika karne hii. Alituaminisha kwa kutumia magazeti yake kwa zaidi ya miaka saba iliyopita kwamba Lowasa na Sumaye ni mafisadi qa kutupwa.
Mboww alisema mbunge bubu kama Lowasa hawezi mleta ukawa na ccm wakimchagua watakuwa wamepotea.
Msigwa alituambia atakayemfuata Lowasa basi na akapimwe akili.
Mnyika alisema Lowasa ni jizi la richmond
Lema alisema Lowasa ni mwizi.
Leo hii kila mtu kala matapishi yake kayameza. U anasemaje.halafu leo hii kwa ulofa wao wanatushawishi eti tuwachague watuongoze. Kivipi.??
Labda watuongoze kuendelea kuiibia nchi. Mabadilikoya kuelekea kwenye nchi ya ufisadi.
 
Tatizo sisi watu wa Musoma tuko aina mbili:
Kuna wanaojitambua Sana na hawayumbishwi lkn pia kuna misukule kama Manyerere Jackton ambayo huweza hata kulamba kinyeshi cha yoyote mwenye pesa.
 
Kwa alichomfanya mama mmoja Wa kizungu aliyekua anafuatilia manyanyaso wanayoyapata wamasai kutoka kwa waarabu Loliondo
Manyerere kwangu ni Nyang'au tu
He! Manyerere Jackton ni kaka yangu na ni best yangu sana hajanishirikisha hii kitu. Hebu ilete hapa hii habari
 
Last edited by a moderator:
Mkuu waajeshi sio Diamond, haendeshw n mediaz, hamjui nafas yake ktk taifa ndo maana mnadhan anaweza tekwa kwa interest za chama... jana kaongea semen tena
 
  • Thanks
Reactions: nao
Tatizo sisi watu wa Musoma tuko aina mbili:
Kuna wanaojitambua Sana na hawayumbishwi lkn pia kuna misukule kama Manyerere Jackton ambayo huweza hata kulamba kinyeshi cha yoyote mwenye pesa.
Kumbe wewe ni wa Musoma.Niko na Mbowe hapa anakupongeza sana kwa kujitambua.Watu wanaoshabikia CCM amma vyama vingine hawajitambui kabisa.Anasema Na yeye atafanya ziara huko musoma soon so mambo yetu yale "barabara nini" si unajua hawezi kupita kuna vumbi #R.IP.ChachaWangwe
 
Tatizo unataka kujifanya unajua wakati hujui kitu wewe ni zero brain,yule dogo aliyekamatwa aliiambia mahakama kuwa kama alipost uongo basi jenerali aonekane public na kisha wamhukumu kwa haki,lakini kwa kuwa general hayupo,he can not appear publicly mwenye akili ndogo ni wewe na wazazi wako wa ccm,ninyi mitoto ya makada wa ccm huwaga hamna akili hata kidogo! Unataka kuonekana unajua kumbe ubongo wako umejaa kinyesi,all in all zimebaki siku 5 muikimbie nchi najua Lowassa akiingia ikulu hamtakaa Tanzania majizi wakubwa nyie,kama Lowassa angekuwa fisadi na kwa jinsi mlivyo na hasira naye mngemfunga,ila kwa kuwa mnazusha mtabaki kupiga kelele tu,54 yrs with 0

kesi haijafika stage ya kijana kutoa utetezi wake,msipende kuleta uzushi wa whatsapp groups JF
 
Alileta thread humu eti mkuu wa majeshi angewasili 16/10/2015.Tukio la mkuu wa majeshi kuwasili kutoka ziara ndefu ya ughaibuni lazima liambatane na kuonekana ktk vyombo vya habari kama TV na magazeti,lakini yote haya hayakuonekana utadhani aliyerudi ni mwenyekiti wa kijiji.

Ben Saanane kaweka uzi kwa kuipa serikali siku 7 mkuu wa majeshi awe kaonekana au la ataanzisha kampeni maalumu ya #Bring back our General.

Anakuja Manyerere na kumponda Ben Saanane akidai eti anatafuta umaarufu humu JF baada ya umaarufu wake kupotea,sasa namuuliza manyerere kama Ben anatafuta umaarufu kwa kitu kisichokuwepo na yeye alisema Jenerali amerudi basi yeye kama mwandishi nguli aweke ushahidi humu au ktk gazeti lake la Jamhuri kuhusu ujio wa Jenerali na siyo kubwabwaja kinafiki humu hana hata aibu,na serikali haiwezi kutoa namba za simu za Msemaji wa Jeshi eti anayetaka kujua alipo Jenerali alipo ampigie msemaji huyo.

Huo ni mtego ili kuwanasa vimbelembele, Manyerere acha unafiki unadhalilisha sana fani ya uandishi,hufai kabisa.

Sasa umejiona ni jinsi gani ulivyo mpumbavu. Una swali?
 
Mbona unadonoa mkuu? Hili ni jukwaa huru,anika uchafu wake hapa kwa kina tujue alimfanyia nini huyo mama wa kizungu ili watu wamjue vizuri.

He! Manyerere Jackton ni kaka yangu na ni best yangu sana hajanishirikisha hii kitu. Hebu ilete hapa hii habari

Wakuu naomba mpitie hii link hapa chini kuhusu huyo Manyerere halafu aje hapa akanushe kwangu ni Nyang'au tu

http://www.chahali.com/2015/08/mkasa-wa-kusikitisha-kuhusu-susanna.html?m=1
 
Last edited by a moderator:
Wakuu naomba mpitie hii link hapa chini kuhusu huyo Manyerere halafu aje hapa akanushe kwangu ni Nyang'au tu

Mkasa wa kusikitisha kuhusu Susanna Nordlund,Mswidishi mpigania haki za ardhi za wakazi wa #Loliondo ~ Kulikoni Ughaibuni
Hizi ni moja ya kazi nzuri nilizowahi kuzifanya hata zikaweza kuifanya Serikali imtimue huyo mamluki. Matatizo ya Loliondo yanapikwa na huyu mama na vibaraka wake wakiwamo huyu wa kwenye JF ambaye namjua. Vyombo vya dola tayari vimeanza kazi ili kujua hili genge la wageni limewezaje hadi kuajiriwa ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii. Subiri nikamilishe kazi hii. Ukweli nitauanika.
 
Hongera kwa kazi nzuri uliyoifanya ya kumtimua mama mteteaji Wa haki za wananchi Wa Tanzania ,Kaburu wewe
 
moja kati ya watu naowaamini ni huyu MANYERERE Jx... jamaa news zake zipo deep sana...
 
Hizi ni moja ya kazi nzuri nilizowahi kuzifanya hata zikaweza kuifanya Serikali imtimue huyo mamluki. Matatizo ya Loliondo yanapikwa na huyu mama na vibaraka wake wakiwamo huyu wa kwenye JF ambaye namjua. Vyombo vya dola tayari vimeanza kazi ili kujua hili genge la wageni limewezaje hadi kuajiriwa ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii. Subiri nikamilishe kazi hii. Ukweli nitauanika.
kama uliyoyafanya ni kwa ajili ya kuonea watanzania wanaotaka kipande cha ardhi kwa ajili ya chakula na sio kujenga hoteli Mungu atakupa adhabu watakayoipata mpaka kizazi chako cha nne
 
Alileta thread humu eti mkuu wa majeshi angewasili 16/10/2015.Tukio la mkuu wa majeshi kuwasili kutoka ziara ndefu ya ughaibuni lazima liambatane na kuonekana ktk vyombo vya habari kama TV na magazeti,lakini yote haya hayakuonekana utadhani aliyerudi ni mwenyekiti wa kijiji.

Ben Saanane kaweka uzi kwa kuipa serikali siku 7 mkuu wa majeshi awe kaonekana au la ataanzisha kampeni maalumu ya #Bring back our General.

Anakuja Manyerere na kumponda Ben Saanane akidai eti anatafuta umaarufu humu JF baada ya umaarufu wake kupotea,sasa namuuliza manyerere kama Ben anatafuta umaarufu kwa kitu kisichokuwepo na yeye alisema Jenerali amerudi basi yeye kama mwandishi nguli aweke ushahidi humu au ktk gazeti lake la Jamhuri kuhusu ujio wa Jenerali na siyo kubwabwaja kinafiki humu hana hata aibu,na serikali haiwezi kutoa namba za simu za Msemaji wa Jeshi eti anayetaka kujua alipo Jenerali alipo ampigie msemaji huyo.

Huo ni mtego ili kuwanasa vimbelembele, Manyerere acha unafiki unadhalilisha sana fani ya uandishi,hufai kabisa.

Jamani njaa mbaya!
 
Back
Top Bottom