Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,933
- 34,912
Habari za humu jamani? Mimi NAPITA TU!!Naona anajadiliwa Manyerere Jackton??!!
Last edited by a moderator:
Majanga haswaa wabongo wengi njaa zinapoteze uwezo wetu wa kufikiri
Unaonaje Wewe Ukaenda Upanga pale Ukaulizie? Mbona ni Suala dogo tu! Shida kama ni kumuona Jamaa Nendeni pale.
Kwa alichomfanya mama mmoja Wa kizungu aliyekua anafuatilia manyanyaso wanayoyapata wamasai kutoka kwa waarabu Loliondo
Manyerere kwangu ni Nyang'au tu
sasaa kama watu wote hamtaki kwenda Upanga Yanini kuja kulalamika huku? Au Huku ndipo ilipo wizara ya Ulinzi? Au unadhani huku ndipo zilipo ofisi Za Mwamunyange? Wakati mwingine msihalalishe upuuzi we nu uonekane no sahihi.. Jeshi halifungamani na Siasa.. Rudi katafute umaarufu mwingine Keisha njoo tena na akili zako ndogoKama huna comment ni bora tu ukakaa kimya,siyo lazima na wewe uonekane eti ume comment,unataka watanzania wote waende upanga kumuulizia mkuu wa majeshi? Usione watu wapo kimya mkadhani ni wajinga kiasi hicho,baada ya 25/10/2015.Utawaona watanzania sasa wanaenda upanga kumuulizia,si kila mtanzania atakuja humu na thread kutaka ajue alipo jenerali,time will tell.
sasaa kama watu wote hamtaki kwenda Upanga Yanini kuja kulalamika huku? Au Huku ndipo ilipo wizara ya Ulinzi? Au unadhani huku ndipo zilipo ofisi Za Mwamunyange? Wakati mwingine msihalalishe upuuzi we nu uonekane no sahihi.. Jeshi halifungamani na Siasa.. Rudi katafute umaarufu mwingine Keisha njoo tena na akili zako ndogo
Una jicho la tatu mkuu, wako kama wanne hivi wanapigana vikumbo kumrithi rweyemamu, akiwemo buhohela, yetu macho..Kuna watu wanasaka nafasi ya Rweye pale Ikulu
Alileta thread humu eti mkuu wa majeshi angewasili 16/10/2015.Tukio la mkuu wa majeshi kuwasili kutoka ziara ndefu ya ughaibuni lazima liambatane na kuonekana ktk vyombo vya habari kama TV na magazeti,lakini yote haya hayakuonekana utadhani aliyerudi ni mwenyekiti wa kijiji,Ben Saanane kaweka uzi kwa kuipa serikali siku 7 mkuu wa majeshi awe kaonekana au la ataanzisha kampeni maalumu ya # Bring back our General,anakuja manyerere na kumponda Ben saanane akidai eti anatafuta umaarufu humu JF baada ya umaarufu wake kupotea,sasa namuuliza manyerere kama Ben anatafuta umaarufu kwa kitu kisichokuwepo na yeye alisema jenerali amerudi basi yeye kama mwandishi nguli aweke ushahidi humu au ktk gazeti lake la jamhuri kuhusu ujio wa jenerali na siyo kubwabwaja kinafiki humu hana hata aibu,na serikali haiwezi kutoa namba za simu za msemaji wa jeshi eti anayetaka kujua alipo jenerali alipo ampigie msemaji huyo,huo ni mtego ili kuwanasa vimbelembele,manyerere acha unafiki unadhalilisha sana fani ya uandishi,hufai kabisa.
Kwanza niseme, hakuna mahali nimemsema Ben Sanane. Hakuna. Pili, nimejaribu kusoma alichokileta mtoa mada,sioni connection yoyote ya alichoandika na unafiki wangu. Sioni kabisa. Nadhani mleta mada ana husda tu. Jenerali Mwamunyange yupo nchini. Hawezi kujianika kama mwanasiasa. Subirini tu siku mtu anaapishwa mtamwona.
Uongo uliopindukia. Usinichonganishe na Ben. Weka aya hiyo niliyoandika kumhusu Ben. Kama huna omba radhi. Uongo ni kitu kibaya sana.
Alileta thread humu eti mkuu wa majeshi angewasili 16/10/2015.Tukio la mkuu wa majeshi kuwasili kutoka ziara ndefu ya ughaibuni lazima liambatane na kuonekana ktk vyombo vya habari kama TV na magazeti,lakini yote haya hayakuonekana utadhani aliyerudi ni mwenyekiti wa kijiji,Ben Saanane kaweka uzi kwa kuipa serikali siku 7 mkuu wa majeshi awe kaonekana au la ataanzisha kampeni maalumu ya # Bring back our General,anakuja manyerere na kumponda Ben saanane akidai eti anatafuta umaarufu humu JF baada ya umaarufu wake kupotea,sasa namuuliza manyerere kama Ben anatafuta umaarufu kwa kitu kisichokuwepo na yeye alisema jenerali amerudi basi yeye kama mwandishi nguli aweke ushahidi humu au ktk gazeti lake la jamhuri kuhusu ujio wa jenerali na siyo kubwabwaja kinafiki humu hana hata aibu,na serikali haiwezi kutoa namba za simu za msemaji wa jeshi eti anayetaka kujua alipo jenerali alipo ampigie msemaji huyo,huo ni mtego ili kuwanasa vimbelembele,manyerere acha unafiki unadhalilisha sana fani ya uandishi,hufai kabisa.
Mimi niwe muongo ili iweje? Umesahahau ktk comment yako kwenye uzi wa Ben ulisema kuwa Ben anatafuta umaarufu tu hapa JF,sina haja ya ku quote ulichoandika ila ulisema,na unaposema nakuchonganisha na Ben unadhani Ben hakusoma comment yako? Kuna vitu bro unataka kujidhalilisha bure tu,ujio wa mkuu wa majeshi katikati ya mkanganyiko uliopo hadi yule kijana ana kesi mahakamani kwa kuambiwa amezusha lazima general angeonekana hadharani,hoja si kuwa mwanasiasa,bali yeye ni public figure na hasa kwa jinsi ccm wanavyopenda sifa na safari hii wameshikwa pabaya lazima general angeonekana tu! Huyo ni mtu mzito sana ktk jamii siyo lazima awe mwanasiasa,kwa hiyo kama ulikuwa na ushahidi na ujio wake tena wewe ni mwandishi ungeweka na jamii ikaamini kuwa kweli amerudi,otherwise sifuti kauli yangu wewe bado ni mnafiki na unatumika na ccm.
Wewe Mara Ngapi Cdf Alionyeshwa Kwenye Media Akiwa Anarudi Mpaka Useme Kurudi Kwake Lazima Kuambatane Na Kuonyeshwa Kwenye Media?