Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Extraction hata kwa zile ollympus has fallen na london has fallen haioni ndani, mnyama Mike Banning

Aisee binafsi London has Fallen katika ile Sequel ndio naonaga moto mwingine haaf Of course inafuata Olympus has Fallen, ile latest ya Angel has Fallen sijaielewa kivile + nahis hii thread hakuna younglings au[emoji28]
 
Mimi Olympus.. sequel zingine zilikua kama kuilazimisha tu ilete mtiririko..
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Aisee binafsi London has Fallen katika ile Sequel ndio naonaga moto mwingine haaf Of course inafuata Olympus has Fallen, ile latest ya Angel has Fallen sijaielewa kivile + nahis hii thread hakuna younglings au[emoji28]

Mkuu hizo movie licha ya kuwa na bunduki lakini sio vita kama walizozitaja wadau hapo juu!

Hizo zina uhondo wake pia
 
Hii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa.

Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii? Nitajie kama ipo
Umeniona OBA THE LAST SAMURAI wewe[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom