Niweke waz kaka! Watu wameacha nin? Ulitaja idad ya walioacha! Hv ni lazma kujiunga na hyo mifuko? Na naweza kujitoa kama nimeshajiunga? Mnisaidie jaman
Hata mie nimesikia haya madude... Yaani wamenichanganya mbaya. Sijui mibunge ya CCM itapitisha huu mswada?Jamani mie mama wa kwanza leo nina mawazo Lukuki....naomba mnipe pole na msaada wenu kimawazo
Baada ya kumtumikia mwajili wangu kwa miaka kadhaa na kuamini kuwa vile Vijisenti vyangu vya NSSF
Nikivipata pale nitakapoamua kuacha kazi vitaniweka mjini kabisaa niendeleze sekta ya vibusiness niliyoinzisha.
Juzi wamekuja kutuletea habari zao eti tujiandae kisaikolojia wanataka kupitisha sheria kuwa .
Sasa ukiacha kazi hela yako huchukii ..
Ukifikisha miaka kumi kazini unaingizwa kwenye sijui pensheni
Na kama vile walivyo na akili za (.........) nispate Ban hapa wanadai sheria hii itaanza kutumika Asap
Unapewa 30% YA VIJISENTI vyako
Harafu zingine ukistaafu after 55 years unaanza kupewa ..vijipasenti
Ooh mama nimepata shock ..
Nawaza kuacha ajira nikiwa sijajiandaa yaani nimechoka
Asprin na wenzenu nipeni ushauri nasaha na vipimo wa haraka
Sitaki vijisenti vyangu vikaongezewe kulipa madeni ya serikali
aaaaaaaaaaaaaaaaaagh....
Unazungumza kwa niaba ya nani?Watanzania wana matatizo sana, nani aliwadanganya eti Pension ni kama Bank?, kwamba unaweka leo na muda wowote ukijisikia unaenda kuchukua?. Kuchangia mifuko imewekwa kisheria na kuwa lazima kwa sababu kuu hizi ambazo zote ni katika kucover social distress/ problems:
1. Unaweza ukaumia kazini na ukashindwa kabisa kuendelea na kazi maisha yako yote, fungu lako liliko katika hifadhi litakuhifadhi.
2. Unaweza ukafariki (wote tutakufa), na bahati mbaya hujajipanga au hata kama umejipanga..wale warithi wako wanapata walau pa kuanzia kupitia michango yako uliyokuwa ukichangia.
3. Ukazeeka na ukiwa hauna nguvu ya kuendelea kufanya kazi, lakini kupitia mifuko hii ukawa unapata pensheni ya kila mwezi ambayo ni kama ulivyokuwa ukipata msharhara japo itakuwa by 60-80% ya mshahara na marupurupu yako ya awali ila inasaidia kuliko kukaaa miaka hadi mia huna kipato chochote.
4. Kufaidika kwako binafsi Mfano NSSF jana wamezindua kukopesha SACCOS, PPF wanayo hiyo..so kama ni member na mko kwa SACCOS hizo mnakpoeshwa kisha unaendelea na maisha.
5. Kuwa sehemu ya msaada kwa jamii i.e Mifuko inajenga hospitals ambazo kama hazitakusaidia wewe basi mjomba, shangazi, kaka, dada au hata watoto wao etc etc.
6.nakadhalika.
Hawa wanaojifanya wanaacha kazi ili wachukue hela zao 'masikini ya Mungu' hawajui maana ya pension sheme. Inabidi mifuko ifanye kazi ya ziada kuwaelimisha kwa kina.
Hivi hizo hela unazokimbilia kuzichukua sasa hivi (i.e 10% ya kwako na 10% ya mwajiri) kama ungepewa kila mwezi sasa hivi ungekuwa nazo kweli?. Angalia salary slip yako kisha ujipe majibu..huenda ndo ingekuwa ya BAR, Mafuta ya gari, kuhonga, kununua nguo etc! But MIFUKO inatunza kwa niaba yetu, inafanya investments ili kuja ku-cover social distress that may happen now or in future na kukupatia mafao Bora.
Guys, be great thinkers ki kweli kweli na mjisumbue kufuatilia mambo. JF isiwe mahali pa kupoteza watu, kila jambo linawekwa kisiasa siasa tuu.
Unazungumza kwa niaba ya nani?
Watanzania wana matatizo sana, nani aliwadanganya eti Pension ni kama Bank?, kwamba unaweka leo na muda wowote ukijisikia unaenda kuchukua?. Kuchangia mifuko imewekwa kisheria na kuwa lazima kwa sababu kuu hizi ambazo zote ni katika kucover social distress/ problems:
1. Unaweza ukaumia kazini na ukashindwa kabisa kuendelea na kazi maisha yako yote, fungu lako liliko katika hifadhi litakuhifadhi.
2. Unaweza ukafariki (wote tutakufa), na bahati mbaya hujajipanga au hata kama umejipanga..wale warithi wako wanapata walau pa kuanzia kupitia michango yako uliyokuwa ukichangia.
3. Ukazeeka na ukiwa hauna nguvu ya kuendelea kufanya kazi, lakini kupitia mifuko hii ukawa unapata pensheni ya kila mwezi ambayo ni kama ulivyokuwa ukipata msharhara japo itakuwa by 60-80% ya mshahara na marupurupu yako ya awali ila inasaidia kuliko kukaaa miaka hadi mia huna kipato chochote.
4. Kufaidika kwako binafsi Mfano NSSF jana wamezindua kukopesha SACCOS, PPF wanayo hiyo..so kama ni member na mko kwa SACCOS hizo mnakpoeshwa kisha unaendelea na maisha.
5. Kuwa sehemu ya msaada kwa jamii i.e Mifuko inajenga hospitals ambazo kama hazitakusaidia wewe basi mjomba, shangazi, kaka, dada au hata watoto wao etc etc.
6.nakadhalika.
Hawa wanaojifanya wanaacha kazi ili wachukue hela zao 'masikini ya Mungu' hawajui maana ya pension sheme. Inabidi mifuko ifanye kazi ya ziada kuwaelimisha kwa kina.
Hivi hizo hela unazokimbilia kuzichukua sasa hivi (i.e 10% ya kwako na 10% ya mwajiri) kama ungepewa kila mwezi sasa hivi ungekuwa nazo kweli?. Angalia salary slip yako kisha ujipe majibu..huenda ndo ingekuwa ya BAR, Mafuta ya gari, kuhonga, kununua nguo etc! But MIFUKO inatunza kwa niaba yetu, inafanya investments ili kuja ku-cover social distress that may happen now or in future na kukupatia mafao Bora.
Guys, be great thinkers ki kweli kweli na mjisumbue kufuatilia mambo. JF isiwe mahali pa kupoteza watu, kila jambo linawekwa kisiasa siasa tuu.
Bargain,
Ukweli ni kwamba serikali ina mpango wa kupeleka bungeni marekebisho ya muswada wa sheria wa mafao ya wafanyakazi kama ulivyopitisha ba bunge ili sasa kufanya wafanyakazi wote wanaokatwa akiba ya mafao (PPF,NNSF, PSPF,LAPF,GEPF n.k) kulazimika kutopata mafao yao kama hawajatimiza umri wa kustaafu(55-60).Mpango huu unaletwa kwa sababu serikali yenu haina namna ya kufanya na ingependa kupata boost ya mapato toka mifuko hii ili kuleta pesa kwa ajili ya miradi ya maendeleo.
Mpango huu wa aibu na kandamizi utawaathiri wafanyakazi zaidi ya 700000 serikalini lakini kwa kipekee utaathiri na kuua ndoto za wafanyakazi zaidi ya 3000000 walio katika sekta binafsi kama vile makampuni, NGOs na wale waliojiajiri wenyewe na ambao wanatumia mifuko hii.
Wana JF kumbukeni,
Bunge lilipitisha WAFANYAKAZI WA SERIKALI hawalipi kodi kwenye ALLOWANCES lakini PRIVATE lazima ulipe kodi ya allowances zote (eg house allowances e.tc).
Je TUKINYAMAZA katika hili la HELA ZETU si nalo litapitishwa?
Tuamke tutake kuelezwa ukweli na Serikali.
Kwanini wasirekebishe muswada wa kiinua mgogo cha wabunge ambao kila miaka mitano wanapewa, yani mbunge achukue kiinua mgongo anapo malizana kabisa na siasa na endapo atarudi tena anatakiwa akirudishe hicho kiinua mgongo na atakapo maliza tena anapewa nusu yake kama mtu anaye resit mithiani naomba kuwasilisha
ByMnwele
Bargain,
Ukweli ni kwamba serikali ina mpango wa kupeleka bungeni marekebisho ya muswada wa sheria wa mafao ya wafanyakazi kama ulivyopitisha ba bunge ili sasa kufanya wafanyakazi wote wanaokatwa akiba ya mafao (PPF,NNSF, PSPF,LAPF,GEPF n.k) kulazimika kutopata mafao yao kamahawajatimiza umri wa kustaafu(55-60).Mpango huu unaletwa kwa sababu serikali yenu haina namna ya kufanya na ingependa kupata boost ya mapato toka mifuko hii ili kuleta pesa kwa ajili ya miradi ya maendeleo.
Mpango huu wa aibu na kandamizi utawaathiri wafanyakazi zaidi ya 700000 serikalini lakini kwa kipekee utaathiri na kuua ndoto za wafanyakazi zaidi ya 3000000 walio katika sekta binafsi kama vile makampuni, NGOs na wale waliojiajiri wenyewe na ambao wanatumia mifuko hii.
watu wanatak hizo hela 10% za mishahara yao eti ndiyo wafanye maendeleo wakati 90% wameshindwa kuitumia kwa ajili hiyo! watu wa aina hii ukifanya utafiti, may be 2% yao wanweza kufanya walichokusudia zaidi ni pombe na kiti moto tu hakuna zaidi semeni msemavyo, ni club, pombe na ktm, kuhonga na kwenda gesti za kujificha hakuna matumizi ya maana! by kibai