Hakuna maji na umemaliza..ungefanyaje we Bosi?

haahahhah, majibu yenu niko hoi natamani kujua umri wa kila mchangiaji.
swali : mfano umetumia gazeti au soski ikitokea maji ya lita 3 yamekosekana, na mzigo upo juu je yule atakayeingia atatumia style gani kujisaidia na ukizingatia ni choo cha kukaa?
 
Hata huyo mfanyakazi anaweza kukuzingua, akakwambia Boss maji kote hakuna! Hapo ni utamuagizia akuletee soda Sprite 3 hivi (Sprite atlist rangi yake iko km maji) basi unajiswafia vyoda!
Poa tu.

Sasa mkuu,
Sprite nilete za baridi au?
 
Salam, nikaribisheni jamani hapa kwenu..mie sie mtaalam,
Naanza na hii...wewe ni bosi na wafanyakazi wanakugaya sana, siku moja umeenda haja na baada ya kumaliza wataka kuflashi bahati mbaya hamna maji na kona zote maji yamekatika,ubaya kuna mfanyakazi naye anagonga anataka aingie maliwato...mzigo upo juu...ungefanya uamuzi gani?



Badae....

kungekuwa hakuna anayegonga,ingekuwa msala kidogo.. Hata hivyo kama nimeingia na simu ya mkononi(mi naingiaga nazo),napiga mesenja alete maji..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom