Hakuna maji na umemaliza..ungefanyaje we Bosi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna maji na umemaliza..ungefanyaje we Bosi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MPAMBANAJI.COM, Apr 24, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Salam, nikaribisheni jamani hapa kwenu..mie sie mtaalam,
  Naanza na hii...wewe ni bosi na wafanyakazi wanakugaya sana, siku moja umeenda haja na baada ya kumaliza wataka kuflashi bahati mbaya hamna maji na kona zote maji yamekatika,ubaya kuna mfanyakazi naye anagonga anataka aingie maliwato...mzigo upo juu...ungefanya uamuzi gani?  Badae....
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  ningemtuma huyo huyo anayegonga akaniletee maji Bosi wake,, lol
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...navechaaa!...
   
 4. k

  kaeso JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Namtuma huyo mfanyakazi akalete maji...
   
 5. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  mazingira magumu kama hayo unashangaa akili fasta imechemka mtu mzima unaua soo!
   
 6. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hizi thread zingine. mhh!!
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Eboh?
  Si anajua kama maji hakuna, kwa hiyo hatashangaa akikuta mzigo juu. Ila ninachojiuliza ni kuwa bosi amesafishaje 'privates' zake, au kaondoka na lubricant?
   
 8. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kwani ofisi huwa haina magazeti?
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hivi na nii vijimambo usishangae usione hatari vijimambo mjomba we vikikuta vijimambooo,umenikumbusha huu wimbo wa nura verse ya pili.
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Yatakuwepo tu, ila bosi atakuwa alibanwa na kitu cha leseni (anaendesha), sasa kuja kutaharuki ameshaharibu ustaarabu halafu ndio maji hakuna, na gazeti hakukumbuka kubeba.
  The Boss ana hali ngumu sana, sasa sijui atatuma huyu mfanyakazi anayegonga akalete gazeti, au sijui atatumia leso yake afu aitoe sadaka?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  tonga mboha
   
 12. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  hapo ni kupotezea tu,ua anaenda bar kumalizia kazi kikomandoo
   
 13. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Loh!
  mkuu umeniacha hoi, nimecheka kwa kugugumia bosi wangu asiulize kuna nini.
  eti kitu cha lubricant, hahahaha!

  By the way ukitoka hapo unaweka kibao nje; "CLOSED FOR RENOVATION"
  Wafanyakazi katumieni choo cha jirani.
   
 14. K

  Kariongo Senior Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  udhirehunduke kunu. Vakethije huko
   
 15. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  atanukaje kimba bichi lol...
   
 16. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Hapa msaada wa socks unahitajika! Kuliko kutoka na LUBRICANT heri Boss avue socks; moja ajisafishie ingine ahifadhile ile used socks na ajipange jinsi gani atatoka na hiyo pkg bila kuonekana nayo anapopishana na huyu mfanyakazi anayesubiri mlangoni!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Hii font Preta ana haki miliki yake, akikurupuka huko kwa kukurupuka mimi simo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hata huyo mfanyakazi anaweza kukuzingua, akakwambia Boss maji kote hakuna! Hapo ni utamuagizia akuletee soda Sprite 3 hivi (Sprite atlist rangi yake iko km maji) basi unajiswafia vyoda!
  Poa tu.
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  simple, najifuta (na toilet paper) then mfanyakazi akiondoka nanyata narudi ofsn kwangu(kama mtoto wa darasa la tatu)
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  sasa ni bora umtume lile chupa kubwa la maji ya uhai, la lita 3.

   
Loading...