Hakuna mahusiano ya "kawaida" tena?

Wakati tunafanya tathmini ya mwenendo wa jukwaa la MMU, naomba tujiulize kama hivyo vitu kweli vipo au ni hadithi za kutunga? Na kama vipo vinaweza kuongelewa kwenye maeneo ya wazi (in public) au la?

Ni kweli inaweza kuwa ni laana au uchizi, lakini naamni panapofuka moshi kuna moto. Ingawa sifagilii baadhi ya mambo yanayoletwa jamvini, je tufiche vichwa vyetu kwenye mchanga kama mbuni?

DC
 
Ni kweli inaweza kuwa ni laana au uchizi, lakini naamni panapofuka moshi kuna moto. Ingawa sifagilii baadhi ya mambo yanayoletwa jamvini, je tufiche vichwa vyetu kwenye mchanga kama mbuni?

DC

Babu sijakuelewa!Unaposema tusifiche vichwa kwenye mchanga una maana kwamba tuanike madudu yote tunayofanya au kufikiria ili ijulikane yapo??Kuliko kukaa kimya/kuyaficha na kubaki na mawazo kwamba kila kitu ni sawa?
 
hahaha ivi inawezekana ni hangover MR nimeamka nayo? LOL kama haijakupendeza hiyo title nitaibadilisha...lakini nitaibadilishia kuleeeee kwen mambo yetu lol
Watching.......................................
 
Wakati tunafanya tathmini ya mwenendo wa jukwaa la MMU, naomba tujiulize kama hivyo vitu kweli vipo au ni hadithi za kutunga? Na kama vipo vinaweza kuongelewa kwenye maeneo ya wazi (in public) au la?

Ni kweli inaweza kuwa ni laana au uchizi, lakini naamni panapofuka moshi kuna moto. Ingawa sifagilii baadhi ya mambo yanayoletwa jamvini, je tufiche vichwa vyetu kwenye mchanga kama mbuni?

DC
ekzaktili...
 
MMM....

We have different types of people and everyone treats MMU as he/she wants, as always, we should expect the good, the bad and the ugly.

Kuna fantasies, forbidden truths, taboos, the best advice you can ever get etc. however, i must admit that hizo ulizoweka hapo mkuu ni extreme and may not help any of us anyhow.

I tried to do some reflection a little while ago, but it didnt go down well to some of us and i realised, probably we are thinking like politicians (letting the time pass-us by).

it is now up to the mods and admins to rectify the content of MMU and to my knowledge, MMU is moderated somehow

Lizzy, good morning

MBU uko wapi??
 
Babu sijakuelewa!Unaposema tusifiche vichwa kwenye mchanga una maana kwamba tuanike madudu yote tunayofanya au kufikiria ili ijulikane yapo??Kuliko kukaa kimya/kuyaficha na kubaki na mawazo kwamba kila kitu ni sawa?

Lizzy,

Maswali yako yote yanazidi kufikirisha bongo..

Kama nilivyosema kwenye post yangu, kuna vitu vinanichefua hadi huwa sipotezi muda wangu si kusoma tu bali hata kufungua post za namna hiyo. Na mengi ya hayo ni pale mtu anapoamua kutuletea taarifa kwamba kafanya kitu fulani ambacho ki ukweli alitakiwa kufa nacho rohoni. Ila kuna posts nyingine ambazo watu wanataka kupata public opinions na uelewa wa wachangiaji kuhusu suala fulani eg. ushoga, ulawiti au mihadarati. Nadhani kitu cha msingi hapa ni kuona ni jinsi gani tunaweza kuchora mstari wa kipi kinaweza kuwekwa hapa jamvini na kitu gani kiwe censored!

DC
 
Wakati tunafanya tathmini ya mwenendo wa jukwaa la MMU, naomba tujiulize kama hivyo vitu kweli vipo au ni hadithi za kutunga? Na kama vipo vinaweza kuongelewa kwenye maeneo ya wazi (in public) au la?

Ni kweli inaweza kuwa ni laana au uchizi, lakini naamni panapofuka moshi kuna moto. Ingawa sifagilii baadhi ya mambo yanayoletwa jamvini, je tufiche vichwa vyetu kwenye mchanga kama mbuni?

DC

Hapo sasa DC ndio nami pananipa shida.
Ni ukweli kwamba kila mtu anao "upande wa giza "katika maisha yake ambao wengi hawaujui isipokuwa muhusika ( Rejea JOHARI's Window kwa wale wenye kujua maswala ya saikolojia).

Niliwahi kuuliza huko nyuma swali kama hili - je, ni busara kutaka watu wakujue ndani nje au ni vema ukabakiza mengine kwa ajili yako mwenyewe? Ni kweli kuwa mtu haogopi kuleta mada zenye kuelezea u-giza wake kwenye kadamnasi kwa vile kajificha nyuma ya jina la uongo , na huenda ile hali ya kusutika moyoni inamshawishi kujieleza atue mzigo moyoni kwa maana huenda anasumbuka kuweka siri hiyo na anataka angalau abwage zigo hilo hapa. Kama hiyo ndiyo, basi kama alivyosema mheshimiwa MMKJ basi lianzishwe jukwaa husika.

Ubaya wa kujaza mazungumzo perversive hapa ni kutoa taswira kuwa haya mambo yapo na "yanakubalika" .Hii ni sumu hasa kwa wale wanaochipukia kwenye mahusiano na wasiokuwa na uzoefu wa maisha. Tunawakwaza maana wao watachukulia kuwa hapa " Great Thinkers" wamebariki na hivyo ni sawa.

Jukwaa la MMU kwa kweli ni jukwaa zuri ambalo likitumika vizuri linaweza kutoa tiba kwa wenye kusumbuka kwenye mahusiano maana Tanzania huduma ya ushauri nasaha kwenye mahusiano ni haba na pengine haipo.Zipo huduma za aina hii kwa matatizo maalum hususan maswala ya HIV/AIDS. Tunahitaji huduma kama hii hivyo tusipotoshe kwa kuweka exceptions kuwa general rule.
 
Hapo kwenye red, nadhani kuna tatizo la msingi ambalo ama sisi wenyewe tulifanyie kazi kwa kuchagua kitu cha kumwaga hadharani au cha kusoma au tuombe uongozi ulifanyie overhaul jukwaa la MMU!

Ila ukweli utabaki pale pale kwamba MMU ni zaidi ya ukumbi wa kushusha pressure za wengi wetu. Ingawa wakati mwingine hili jukwaa huwa chanzo cha pressure pia!
 
uko sahihi kaka, what i can say most of post are reflecting our society and its direction, they usually help, thanks to those JF members contributing to those posts, Great thinkers usually go through lines. For that I owe you. Let me give one example; I posted a relation which was cracking simply because of toy (mdori) the incident seemed to be funny but it was real, I looked like genius and I was not in the country you don’t know how genius you made me look! I just used your mixed advice they are now about to get married. Someone might be joking or posting a thing which he/she just formulate from nowhere, lakini kuna watu itawagusa na kuwasaidia so long we go thru lines za kipuuzi tunazipotezea… viva jf
 
Hapo nimekuelewa babu...kuna vitu ambavyo tayari tunachukulia kua vimeshakua sehemu ya maisha kwahiyo hatuna budi kuwa waelewa!Ila kuna mengine yanabaki kukuacha mdomo wazi kwasababu hatujazoea na wengi wetu hatujawahi hata kufikiria yanawezekana!!Tukianza kuanika hayo kwa uwazi kabisa itasukuma wengine kufikiria mabaya zaidi!Kwahiyo bora kuwe na sehemu yake...ili mtu akitaka kuona maajabu aende huko!
 
Uko sahihi MMM,ila kuna vitu vya ajabu vinatokea katika maisha ya watu na ndo maana vinashangaza na ukiangalia sana ndo watu wengi huvijadili au kuvitolea ushauri na tafsiri.....nakubaliana na wewe nyingine ni fantasies za watu,sidhani kama kuwazuia ni sahihi au kuwatengenezea jukwaa lao,tubanane tu hapa hapa,tushangae na kujifunza kuhusu jinsi ambavyo binadamu tunafikiri tofauti na tunakutana na mambo tofauti kwenye maisha yetu ya kila siku....
 
Waswahili walisema Lisemwalo lipo kama halipo laja,nionavyo mimi mambo mengi yanayojadiliwa humu yanatokea kweli katika jamii na sio vibaya yakiletwa humu bila kujali yana ukali au uzito gani.Kitu pekee kinachoweza kufanyika ni kwa wachangiaji kukemea kwa nguvu zote mada zinazoonekana zinatoka nje ya maadili ili kuonyesha msimamo wa wanajamii humu jukwaani.Lakini kwa vyovyote iwavyo inaonekana kuwa jamii yetu imeharibika kwa kiasi kikubwa au iko njiani kuharibika.
 
Sijui ni mimi tu au ndio watu wameanza kunogewa na mahusiano ya mapenzi ambayo tunaweza kuyaita si ya kawaida. Nimefuatilia threads nyingi kwa wiki kadhaa sasa na nimekuta zenye kuvutia sana ni ziile ambazo zina dalili ya mahusiano yasiyo ya kawaida. Yaani, watu wanakuja na stori mbalimbali za mahusiano ambayo yanakaribia kuvuka mpaka wa weird na kuwa sexual perversion.

Mara mtu kamtamani baba mkwe
Mara mama mkwe anakula chabo
Mara fulani kalala na dada wawili
Mara Kijana kalala na dada yake
Mara kaka kaota anachakachuana na dada zake
Mara baba kamnunulia chupi binti yake
n.k

Ninajiuliza hizi ni fantasy tu za incest au ni kweli sasa tumeanza kuvuka mpaka wa mahusiano ya kawaida kiasi kwamba ukiwaona dada na kaka wanatembea na kuchekeana unaanza kuhisa wanaumana na kutafunana; ukikuta baba anamkumbatia binti yake kwa ku-hug unafikiria labda usiku anachombezwa! Yawezekana kuna tatizo mahali fulani ambapo watu wanaanza kupoteza mipaka ya miiko ya kingono (sexual morality) na sasa imekuwa kile mtu anatamani au ni njozi tu za mapenzi watu wanaanza kukifanyia kweli. yaani, tunaanza kuvunja vunja mipaka yote ya kimapenzi na kile "mundu ave na vake"! hata kama huyo "wake" ni mtu wa miiko.

Labda ninachouliza kwa maneno machache, je miiko ya mapenzi ipo tena au ndio kula kulaana?

Vinginevyo itabidi tuwaombe ma MoDs waanzishe aidha mada ya watu wa mahusiano ya kawaida au watu wenye njozi za ajabu ajabu wajifungie humo ndani. I'm just saying. Wengine bado na uzee tunataka mambo ya boy meet girl, girl meet boy, boy's heart broken, girl cry.. just the old fashioned romance and love stories. And of course the old visa vya uswahilini!
That is why nowadays I don't trust anyone against anyone..... Because if a human being wish to try everything he/she feels, what will be left untested? Even dad will test his feelings against his daughter, and mom will do the same against her son, sisters and brothers too.... Then, who can be trusted anyway? Probably none.... GOD FORGIVE US, and BRING US INTO A RIGHT WAY....
 
Babu sijakuelewa!Unaposema tusifiche vichwa kwenye mchanga una maana kwamba tuanike madudu yote tunayofanya au kufikiria ili ijulikane yapo??Kuliko kukaa kimya/kuyaficha na kubaki na mawazo kwamba kila kitu ni sawa?

kudos; hivi kweli tukianza kuyaweka hadharani "madudu" yote yaliyomo kwenye vichwa vyetu si hata shetani anaweza kukimbia?
 
BInti wa miaka 14 na kaka yake wa miaka 16 ambao wanapata muda kuchungulia MMU na kukuta habari za kaka na dada wanaotunguana na hawana mahali pa kuulizia (kwa sababu yoyote ile) mwisho mmoja anamtamani mwenzake kwa sababu wanafikiria "ni mambo ya kawaida".. tunawasaidia kweli? Au tuweke angalau uzio wa aina fulani kama ulioko kwenye jukwaa la watu wazima ili angalau mambo mengine tuwalinde watoto na wadogo zetu hadi wakiwa wamefikia kukomaa na kuyaelewa mapenzi vizuri?
 
Wakati tunafanya tathmini ya mwenendo wa jukwaa la MMU, naomba tujiulize kama hivyo vitu kweli vipo au ni hadithi za kutunga? Na kama vipo vinaweza kuongelewa kwenye maeneo ya wazi (in public) au la?

Ni kweli inaweza kuwa ni laana au uchizi, lakini naamni panapofuka moshi kuna moto. Ingawa sifagilii baadhi ya mambo yanayoletwa jamvini, je tufiche vichwa vyetu kwenye mchanga kama mbuni?

DC
DC,haya mambo yapo bwana.I am just recovering from a shock niliyopata last week,mpwa wangu amefukuzwa shule(form 1) kwa sababu ya ushoga.Ni mtoto niliyemjua toka mdogo,na kumpenda.Tumepoteana miaka 3 tu,that is the grand revelation.Siku hizi tukitakwa/kutokewa na wakaka tunawajibu tu kiustaarabu manake sio maajabu tena kutakwa na mipete yako na mimba,ila kutakwa na wasagaji/lesbians ndo kitu unachoweza kukiongela na yanatupata mara nyingi tu. Siku hizi unamskia mdada anakuambia nimeachana na mume manake ni gay/shoga! Hivi vitu vipo tena kwa wingi tu.

Mkjj,miiko iliyokuwepo zamana kama watoto wa shule kupata mimba,abortions, kutembea nje ya ndoa etc imekuwa ya kawaida kabisa kwa sababu kuna mambo ya kuwasha masikio(kama Bible inavyosema!).Nakubaliana na ww,pengine kuwe na jukwaa la weirdness ili the faint hearted and old fashioned waachiwe jukwaa lao. Sijui kama ni curiosity yangu tu,ila kujua kama kuna vitu kama hivi inasaidia kuziona warning/alerting signals manake hata sie babawakwe ndo hao hao.Inasaidia kuepusha embarrassment,manake siku hizi hata wadada tunaogopana!
 
Back
Top Bottom