King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,781
BInti wa miaka 14 na kaka yake wa miaka 16 ambao wanapata muda kuchungulia MMU na kukuta habari za kaka na dada wanaotunguana na hawana mahali pa kuulizia (kwa sababu yoyote ile) mwisho mmoja anamtamani mwenzake kwa sababu wanafikiria "ni mambo ya kawaida".. tunawasaidia kweli? Au tuweke angalau uzio wa aina fulani kama ulioko kwenye jukwaa la watu wazima ili angalau mambo mengine tuwalinde watoto na wadogo zetu hadi wakiwa wamefikia kukomaa na kuyaelewa mapenzi vizuri?
Japokuwa kuna umuhimu wa kuwa na a proper system ya kuelewesha vijana wetu ili waweze kutofautisha mabaya na mazuri.The whole society is so messed up,kama sie wakubwa tunakuwa confused hivi,sijui tutawaficha wapi watoto wetu!