hakuna kulia tena,,,,,,

wakati wa kukatakata v
itunguu lol
 
Hiyo kali. Creativity hiyo.
 
ukiwa karibu na moto ukikata vitunguu,hautoki machozi
 
asieee...hapo ni geto, masela wanajiandalia msosi..
 
Kila siku kitu hichohicho tu. Unatujazia server bure tu hapa.
 
Najuwa wasichana hampendi ile kitunguu inavyoingia kwenye macho,
kazi kwenu, sisi akina mama macho yameshakomaa inabidi tuzoee hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…