Hakuna kulala hadi ule kwanza

Hakuna kulala hadi ule kwanza

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,379
Reaction score
13,198
1920456_596632260404937_1246041449_n.jpg

Hakuna kulala hadi ule kwanza
 
Au iende jukwaa la picha. Ila dogo karembuaa, hapo ukute hata hajielewi na wasipoangalia anaweza kuchovya maji ya kunawa akajua mchuzi.
 
Au iende jukwaa la picha. Ila dogo karembuaa, hapo ukute hata hajielewi na wasipoangalia anaweza kuchovya maji ya kunawa akajua mchuzi.

umenikumbusha mbali sana ..yaani hilo tukio lilinitokea sana enzi zangu!:....hahahahahahah
 
Nilipoona title ya thread nikadhani ni Wema anamwambia Diamond mpaka abandue mavituz kwanza ndo alale! Kumbe ni katoto ka Maneromango kanasukumiwa vipande vya mhogo kabla ya kulala!
 
Nilipoona title ya thread nikadhani ni Wema anamwambia Diamond mpaka abandue mavituz kwanza ndo alale! Kumbe ni katoto ka Maneromango kanasukumiwa vipande vya mhogo kabla ya kulala!

Bwaha ha ha ha h ha!!!!

Umenifurahisha sana...
 
Bwaha ha ha ha h ha!!!!

Umenifurahisha sana...
Vizuri bro Rapherl kama umefurahishwa na nilichodhania. Kusema kweli thread niliikimbilia nikidhani ni mambo ya wema na diamond maana hawa ni nyumba ya vituko!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom