Kweli nimeamini mwanasiasa akikuambia sasa hivi ni usiku toka nje ukaangalie kama kweli kiza kimetanda
Aliyekuwa kada wa CHADEMA Yeriko Nyerere kipindi cha uchanguzi wa ndani wa chama chake hicho cha awali kutafuta mwenyekiti wa chama alikuwa upande wa Freeman
Alikuwa na kauli mbiu yake kipindi hicho cha uchaguzi kuwa ukipigwa hakuna kuhama chama
Lakini cha kushangaza mgombea wake kapigwa chini kaangukia pua kwenye uchaguzi huo leo hii Yeriko kahama chama kasaliti kauli yake kweli wanasiasa sio watu wa kuwaamini akikumbia muda huu ni usiku kama mpo ndani ya nyumba toka nje ukahakikishe kama kweli kiza kimeingia
Yeriko aliamini kuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kushinda Mbowe kwenye nafasi ya uwenyekiti sasa mgombea wake alipishindwa tena kwenye uchaguzi wa wazi kabisa ambao haujawahi kutokea kwenye historia ya nchi hii hakuamini macho yake
Baada ya hapo akaanza kuwa mpinzani wa CHADEMA na kuanza kukishambua chama hicho kwenye mitandao yake ya kijamii
Lakini chamois ameliorate maana raia walikuwa wakimpatia haki yake ya kikatiba ya uhuru wa kujieleza na kumpiga spana sawia kwenye post zake anazoiponda CHADEMA
Hatimaye leo Jumatau Agosti 06 2025 amesaliti kauli yake meenyewe aliyoisasi hakuna kuhama chama ukipigwa kwenye uchaguzi yeye ndio kahama chama na kujiunga na CHAUMA
Huyu mchawi sijui kakwama wapi? Au ndio mizimu yake ilimdanganya kuwa Mbowe atashinda? Matoke yale ya Tundu Lisu kuikuba mwenyekiti wa CHADEMA yamethihirisha kuwa Mungu wa mbinguni ni zaidi ya mizimu ya Yeriko ya dunia hii
Comasava