Chivundu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 7,198
- 5,364
- Thread starter
- #101
ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ Hakuna Elites wala mama yake Elites bali kuna UHUNI wa hali ya juu na UBABE kupitia vyombo vya dola.
"Kama si vyombo vya dola kuibeba ccm naamini uchaguzi wa 2010 Chadema ingechukua Nchi"
Unazungumzia 2010 ambapo Kikwete alipata asilimia 62.83% na Slaa 27.05%?
Vyama vingine vikapata 10.12%.
Mbona 2015 mlifanya vizuri zaidi na EL?
Kwanini unaamini sana 2010,wakati 2015 mwamko ulikuwa mkubwa na watu wengi walijiandikisha kuzidi 2010?