Na hawatapewa.Shauri yenu, mtakuja kuomba maji …
Na “afande “ hatakamatwa 😅Na hawatapewa.
Na akikamatwa, hatakuwa na kesi ya kujibu🤣Na “afande “ hatakamatwa 😅
😂😂😂Na akikamatwa, hatakuwa na kesi ya kujibu🤣
🤣🤣🤣 Furuuu washakushikilia wangapi?
mahaRiJamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..
Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).
Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺
Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses
Huyu aki pigwa vizuri, ata eleza bangi ana nunuaga wapiShauri yenu, mtakuja kuomba maji