Sasa uko na 51 yrs, badala ya kumshukuru Mungu kufika uzee wewe unakufuru.Nemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili. super rofo hapo sijao nimepanga naishi na wadogo zangu wawili ni mwendo wa kula bata,pombe mademu na kila kitu
Nimeowa mwaka 2004 nikaanza kujenga namshukuru Mungu nina nyumba tatu na ofisi zangu za Saloon jumla sita
Tatatizo linaanza kutoka kijana, baba, sasa wananita mzee,mfano mnaweza mkizinguana na kijana maana niko freshi nilibahatika kusomea mafunzo ya kareti sasa kijana kama akinizingua nikimpiga mkwara sipendi aniambie samahani mzee,au binti nikimpenda aniambie tu ahsante asiniambie mbona wewe sawa na baba yangu,inauma jamani uzee mbaya
Unataka uitwe nani BrazaNemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili. super rofo hapo sijao nimepanga naishi na wadogo zangu wawili ni mwendo wa kula bata,pombe mademu na kila kitu
Nimeowa mwaka 2004 nikaanza kujenga namshukuru Mungu nina nyumba tatu na ofisi zangu za Saloon jumla sita
Tatatizo linaanza kutoka kijana, baba, sasa wananita mzee,mfano mnaweza mkizinguana na kijana maana niko freshi nilibahatika kusomea mafunzo ya kareti sasa kijana kama akinizingua nikimpiga mkwara sipendi aniambie samahani mzee,au binti nikimpenda aniambie tu ahsante asiniambie mbona wewe sawa na baba yangu,inauma jamani uzee mbaya
khaaa!,makubwa haya.Nemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili. super rofo hapo sijao nimepanga naishi na wadogo zangu wawili ni mwendo wa kula bata,pombe mademu na kila kitu
Nimeowa mwaka 2004 nikaanza kujenga namshukuru Mungu nina nyumba tatu na ofisi zangu za Saloon jumla sita
Tatatizo linaanza kutoka kijana, baba, sasa wananita mzee,mfano mnaweza mkizinguana na kijana maana niko freshi nilibahatika kusomea mafunzo ya kareti sasa kijana kama akinizingua nikimpiga mkwara sipendi aniambie samahani mzee,au binti nikimpenda aniambie tu ahsante asiniambie mbona wewe sawa na baba yangu,inauma jamani uzee mbaya
NiUnataka uitwe nani Braza
Da nimekula bata balaa kijani ukitegemea nilikuwa mtu siyo wa kutafutia sehemu moja,enzi zetu shule hazikuwa kipaumbele kivile maisha yalikuwa kijana kuondoka kwa wazazi kwenda kujitafutiWe mzee vp.. uliruka steji inaonekana
Mbona hivyo vitu vya kawaida nilijiwekea mizizi mizuri katika biashara zangu,sema bado inakuja ile hamu ya kutaka kwenda Club au beach lakini unaona umri umeenda,na mda mwingi nimeishi inje sasa najikuta sina utamaduni wa kujichanganya kama ilivyo hapa kwetu TanzaniaKula vizuri kunywa vizuri pendeza , halafu tafuta pesa polepole , ya ngoswe mwachie ngoswe
Endelea kuumia kuitwa mzee, wakati mimi watoto wa 2005 wananiita baby , utajua haujui😊Mbona hivyo vitu vya kawaida nilijiwekea mizizi mizuri katika biashara zangu,sema bado inakuja ile hamu ya kutaka kwenda Club au beach lakini unaona umri umeenda,na mda mwingi nimeishi inje sasa najikuta sina utamaduni wa kujichanganya kama ilivyo hapa kwetu Tanzania
Mjukuu uzee unaumaa asikwambie mtu,tena heri sisi wanaume kuliko nyie wanawake,nitajitaidi kupiga raba kali,jinsi kali tshert kali,lakini umri unakabaBado nacheka babu, nisimulie hadithi nyingine kama hii...