Hakuna kitu kibaya kama kushare mwanamke mtaani

Hakuna kitu kibaya kama kushare mwanamke mtaani

Anaweza kudondoka yeye njemba bado zikaendelea kudunda
 
Hatare!híi ktu ilishawah tokea hapa mtaani kwetu jaman!waume za watu walitoka mijasho kwelikwel
 
Na sasa wanakufa wamenona sana huwezi kujuwa!
 
Niko Msiba mmoja wapendwa huku tabata Yaani mwanamle mmoja kadondoka na ngoma ametembea na wanaume si chini ya mia mtaani

Mbaya wamama wanalilia watoto wao wa shule bibie akipenda anavuta

Mungu ampe wepesi na msamaha kwa aliofanya kuweni makini kushare mtaani sio sifa

mtaa mmoja wanaume mia !!!thats incredible anapaswa kuingia kwenye guiness book of record
kiuhalisia ni kitu ambacho hakiwezekani lakini na si kila mwenye ngoma ukitembea naye unanasa
 
Madhara ya story za vijiweni ndiyo hayo,mnaambiana fulani ni maharage ya mbeya kila mmoja anataka kugegeda.
 
kama anakitu kinabana wala sio swiming pool

eti eeeh ndo sababu ya kuvaa nguo isiyokutosha mwenzio anataka mguu wa mtoto yeye na kibamia

bt kama alifanya mistake ya kuchagua avumilie hakuna haja ya kushare
 
eti eeeh ndo sababu ya kuvaa nguo isiyokutosha mwenzio anataka mguu wa mtoto yeye na kibamia

bt kama alifanya mistake ya kuchagua avumilie hakuna haja ya kushare
khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom