Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,891
Niko Msiba mmoja wapendwa huku tabata Yaani mwanamle mmoja kadondoka na ngoma ametembea na wanaume si chini ya mia mtaani
Mbaya wamama wanalilia watoto wao wa shule bibie akipenda anavuta
Mungu ampe wepesi na msamaha kwa aliofanya kuweni makini kushare mtaani sio sifa