Hakuna kazi nyepesi duniani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
upload_2016-9-3_14-50-31.jpeg

September 2016
PresidentMagufuli.JPG

October 2015
 
Ajiandae nini? Kuweka picha za raid mtandaoni ni kosa? Lazima abadilike maana kazi ya urais ni ngumu sana
 
Ndo mfurahi ajaenda ikulu kula bata kaenda kaenda kufanya kazi wengine walipo ingia tu wakawa handsome wametoka mhhh mungu akupe nguvu tu
 
Kazi rahisi ni kulamba stamp na kuibandika kwenye bahasa, ndio kazi rahisi, ni mate yako tu
 
Kama kazi ni ngumu mbona huwa wanapigana kufa na kupona kuipata na kusalia madarakani milele, kuna nini huko wajamani!!? Leo nimesoma gazeti mwananchi kuna rais wa uzerbastani (sic) amekaa madarakani miaka 27 sasa ameshikwa na ugongwa wa kutoka damu puani.
 
Ina raha yake, unaweza kuamka asubuhi ukaseama J5 ni marufuku wanaume kulala na wake zao, na ikatelezwa.
 
Ina raha yake, unaweza kuamka asubuhi ukaseama J5 ni marufuku wanaume kulala na wake zao, na ikatelezwa.
Huu ni uchochezi! Si unajua kila kitu awamu hii ambacho hakimsifu "mtukufu" ni uchochezi, hakika taifa limeingia chaka!!
 
Back
Top Bottom