Hakuna kazi mbaya duniani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1104408
 
Dah dada mochwari kuna changamoto zake.. Imagine una ukame wa wiki halafu uletewe kama hao wote wamekufa
Mtendaji wa mochwari
Ndio chumba chetu tu
Ingaa twakiopoga mno
Sijui twahofu nini hasa
Kwenda twenda wafu
Wafu hawana chao tena
Wafu waso na kitu duniani
Wametulia tuli chumbani
Lakini twapaogopa sana
Twaogopa nini hasa jama
Mshana Jr nsaidie tu
Nsaidie kuumanya mchezo

Bazazi
 
Mtendaji wa mochwari
Ndio chumba chetu tu
Ingaa twakiopoga mno
Sijui twahofu nini hasa
Kwenda twenda wafu
Wafu hawana chao tena
Wafu waso na kitu duniani
Wametulia tuli chumbani
Lakini twapaogopa sana
Twaogopa nini hasa jama
Mshana Jr nsaidie tu
Nsaidie kuumanya mchezo

Bazazi
Bazazi takutafuta tufanye colabo ya kuuza mashairi na vina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom