Jiwe anasema tufyatue watoto.... akili za kuambiwa changanya na za kwako. Ukipata mzazi wa kukujengea nyumba na kukupa elimu bila shaka huyo anajitambua sana. Na aina ya wazazi hao hawahitaji msaada wa kununuliwa chakula na watoto wao. Wanahitaji msaada wa kupelekwa hospitali kama ni wagonjwa, ama kuvalishwa nguo kama wanakiharusi nk.
Lakini kichwa cha habari kinasomeka "hakuna jambo baya kama wababa kuwategemea watoto wao", hapo ndipo nilipopata hofu ya kuhoji aina hii ya mafunzo ambayo kwangu niliona in kinyume kabisa na mafundisho, ila yote kwa yote naunga mkono hoja ya kututaka wazazi Wa sasa tupambane ili tuweze kujenga familia bora zitakazokuwa na uwezo wa kupambana na changamoto za maisha ya sasa na baadae na hii itatufanya kuwa na haki ya kudai maziwa kwa ng'ombe uliemlisha.Mkuu umeongea hoja nzuri lakini hakuna sehemu kwenye mada inasema watoto wasiwahudumie wazazi wao. Ninachojaribu kukieleza hapa ni kuwa sisi Wababa wa sasa tupambane kuhakikisha watoto wetu wankaa poa na kulinda siku za uzee wetu
You have nailed it Madam! Halafu bila haya mtu mzima mwenye akili timamuWanalalamika kuwasaidia wazazi wao huku wanahonga mademu, pumbavu kabisa!
Lakini kichwa cha habari kinasomeka "hakuna jambo baya kama wababa kuwategemea watoto wao", hapo ndipo nilipopata hofu ya kuhoji aina hii ya mafunzo ambayo kwangu niliona in kinyume kabisa na mafundisho, ila yote kwa yote naunga mkono hoja ya kututaka wazazi Wa sasa tupambane ili tuweze kujenga familia bora zitakazokuwa na uwezo wa kupambana na changamoto za maisha ya sasa na baadae na hii itatufanya kuwa na haki ya kudai maziwa kwa ng'ombe uliemlisha.
Nyie ndio wale mnaoamini kuwa hamna undugu na mke. Mmewe akifariki basi anyang'anywe mali zote na kufukuzwa.You have nailed it Madam! Halafu bila haya mtu mzima mwenye akili timamu
anakaa chini anaandika thread ya kukashfu wazazi wanaotegemea vijana wao. Sasa unataka mzazi wako akawe ombaomba mitaani? Pumbavu squared.
You have nailed it Madam! Halafu bila haya mtu mzima mwenye akili timamu
anakaa chini anaandika thread ya kukashfu wazazi wanaotegemea vijana wao. Sasa unataka mzazi wako akawe ombaomba mitaani? Pumbavu squared.
mm ni mfano wa haya,ninaye baba ila kastaafu ss ila alikuwa na kazi nzuri,ila playboy kwa sana tupo kama 13 hakuhangaika na watoto wake coz aliwadump kwa mama zao,ss hv analima mihogo huku analalamika watoto hawamjali.just imagineMkuu umeongea vizuri sana. Mungu hawezi kujipinga hata siku moja. Biblia inasema "Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, kabla hazijaja siku mbaya ukasema sina raha katika haya". Kumkumbuka Mungu siku za ujana ni kushika sheria zake moja wapo ni kufanya kazi kwa bidii ukimcha Mungu. Ukimkosea Mungu Ujanani subiri uzeeni utamuelewa vizuri.
Lazima watu tufanye kazi jamani
Mm ni
mm ni mfano wa haya,ninaye baba ila kastaafu ss ila alikuwa na kazi nzuri,ila playboy kwa sana tupo kama 13 hakuhangaika na watoto wake coz aliwadump kwa mama zao,ss hv analima mihogo huku analalamika watoto hawamjali.just imagine