Hakuna jambo baya kama baba kumtegemea mwanaye

Hakuna jambo baya kama baba kumtegemea mwanaye

Ni kweli wazazi wengine wameiishi kwa kima cha chini wengine kwa biashara ndogondogo. Unspokua wanafurahi sasa mtt kakuwa mzigo utapungua. Ukibaharika kurithi mali kwa wazazi mshukuru tu Mungu. Kikubwa ni elimu iwe ya shule au ya msisha. Wazee wa zamani waliwarithisha watt wao ujuzi kama kuwinda, uvuvi ususi, ujenzi, uhunzi nk.

Mungu hukulipa hapa hapa duniani. Tena wakati mwingine huweza kumtumia hata mkeo au wanao kukuadhibu ikiwa ulimuasi ukiwa kijana.
Mhubiri 12
1 Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo.
2 Kabla jua, na nuru, na mwezi, Na nyota, havijatiwa giza; Kabla ya kurudi mawingu baada ya mvua;
3 Siku ile walinzi wa nyumba watakapotetema; Hapo wenye nguvu watakapojiinamisha; Na wasagao kukoma kwa kuwa ni haba; Na hao wachunguliao madirishani kutiwa giza;
4 Na milango kufungwa katika njia kuu; Sauti ya kinu itakapokuwa ni ndogo; Na mtu kusituka kwa sauti ya ndege; Nao binti za kuimba watapunguzwa;
5 Naam, wataogopa kilichoinuka Na vitisho vitakuwapo njiani; Na mlozi utachanua maua; Na panzi atakuwa ni mzigo mzito; Na pilipili hoho itapasuka; Maana mtu aiendea nyumba yake ya milele, Nao waombolezao wazunguka njiani.
6 Kabla haijakatika kamba ya fedha; Au kuvunjwa bakuli la dhahabu; Au mtungi kuvunjika kisimani; Au gurudumu kuvunjika birikani;
7 Nayo mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa, Nayo roho kumrudia Mungu aliyeitoa.
 
Nachojua na nilichofundishwa na ninachozingatia leo.
Ukiwa baba unawajibu wa kuitunza na kuhakikisha kesho bora ya watoto.
Mtoto wako au watoto wako pamoja na mkeo watakuitii na kukuheshim sana mwisho miaka 25. So ukiwa baba tambua mkeo anakupenda coz wewe kwake ni ulinz na kesho ya watoto wake so wapende sana watoto na mpende sana mkeo lakin tambua Yesu alituambia ukiwa kijana unaweza kwenda popote ila ukishazeeka utaamuliwa pa kwenda na hutabisha. Iko hiv.
Wekeza sana nyumba za kutosha za kupangisha kama unauwezo wa kurun kampun fanya mzee kikubwa ukifikisha miaka 25 ya ndoa uwe unasehem unapata za kuchukua mzee. Maana wakat huo watoto wote wanarud na mama yao na utaanza kupewa maneno makali hukuyategemea na mkeo anakuona wewe unamuwekea kiwingu so ili kuepuka hayo tengeneza mazingira ambayo ukifikia umr flan unatoka mjin unakuwa nje ya mji unatengeneza himaya yako watoto wawe ndio wanakutafuta. Tumia muda mwingi kutembea safar za mbali na mkeo kuepuka stress za uzeen ili azid kukupenda. Lakin pia tangu mtoto wa kwanza unamzaa hakikisha kila anachotaka wewe baba ndio unampa hata kama ni hela ya mkeo mwambie akupe wewe ndio umpe ili kuwajengea mentality kuwa baba alikuwa anatupa.maana wazee wengi wamepigwa hapo. Unampa mama ada cjui nini kawalipie watoto sasa watoto wanakuwa na ile kitu mwisho wa siku akilini mwao Inaonekana hukushughulikia vya kutosha maisha yao.
Mwisho fuatilia wazee wengi wanakufa 60 65 mpaka 70 coz wanapewa haras na wake wakishirikiana na watoto na wazee hawasemag mwisho ugonjwa wa moyo anaishia. Kingine fuatilia kama mzee wako anakaa kijijin cku ukienda kuwatembelea wazee ur mumy atakuwa na muda mwingi wa kukwambia matatizo ya bana yako just bcoz anataka hela zote umwachie yeye umnyime mzee so kuwa makin mzee ucje kuwategemea watoto uzeen utateseka sana. Tafuta hela zako sio za watoto wao wape elim ile ya kiume then kadir maisha yanavyoenda ndio utamjua tu ni yupi mtoto anaweza kusimamia shughuli zako mwisho uwaachie urithi

Mkuu umenena maneno mazito yenye hoja. Safi sana
 
Hiyo ni torati lazima tuifuate. Lakini siku ukiujua ukweli utakuweka huru.
Hiyo id ninayotumia ananiita hivyo mwanangu mmoja niliyemuangaikia kumsomesha elimu nzuri kwa hali yangu ya chini kwa kubangaiza baada ya kupata retrenchment nikiwa tu na miaka 7 kazini iliyokuwa NBC it was 1997 nimewasomesha wanangu international schools from primary to university levels je hizo ghalama nilizotumia tena kwa kujinyima zisingeweza kuweka investment ya kula maisha? leo hii mambo yaniendee kombo niitwe jinga!! kwa kauli km hii watoto wangu hawezi kuelewa mleta mada may be kuna jinsi mzazi wake hakumjengea future so ana hasira naye yangu hayo tu
 
Watu wengi hawajajua kuwa huyu joka jeusi ana mgogoro mzito na baba take. Na kwa uandishi huu wa mleta Uzi in type ya mtoto anayeweze hata kumuua baba yake.. Lkn pia mleta Uzi anakasumba ya kutopenda kukosolewa. Ukiangalia response yake kwenye comment zilizompinga utagundua madhaifu hayo.
 
Kila mtu Na akili yake ninachoona hapa Kuna watu wanataka kukimbia majukumu yao Yaani baba kakulea mpaka umekua Leo amezeeka unamtenga No haiko sawa Labda Kama unatafuta watu wa kufa nao baada ya wewe kuvuruga
 
Uko sahihi kabisa nimeligundua hilo
 
Hii somo ulilotoa hapa linapaswa liingizwe kwenye mtaala wa elimu,la sivyo umaskini hautokaa uishe kwetu.

Tungepata na sheria,iwe ni kosa mtu kuzaa bila kuwa na uwezo wa kulea
 
Hiyo id ninayotumia ananiita hivyo mwanangu mmoja niliyemuangaikia kumsomesha elimu nzuri kwa hali yangu ya chini kwa kubangaiza baada ya kupata retrenchment nikiwa tu na miaka 7 kazini iliyokuwa NBC it was 1997 nimewasomesha wanangu international schools from primary to university levels je hizo ghalama nilizotumia tena kwa kujinyima zisingeweza kuweka investment ya kula maisha? leo hii mambo yaniendee kombo niitwe jinga!! kwa kauli km hii watoto wangu hawezi kuelewa mleta mada may be kuna jinsi mzazi wake hakumjengea future so ana hasira naye yangu hayo tu

Mungu atakulipa sawa sawa na ulivyotenda
 
Kila mtu Na akili yake ninachoona hapa Kuna watu wanataka kukimbia majukumu yao Yaani baba kakulea mpaka umekua Leo amezeeka unamtenga No haiko sawa Labda Kama unatafuta watu wa kufa nao baada ya wewe kuvuruga

Soma vizuri mada.
 
Mtoa mada anatukumbusha kutumia ujana vizuri ili uzeeni tusipate shida. Tuna wajibu Wa kuwasaidia wazazi wetu ila pia tuna wajibu Wa kujiandaa na maisha ya uzeeni, tufanye Kazi tuwekeze kwa maisha ya baadae
 
Wewe umeelewa vizuri mada. nadhani yale maswali ya ufahamu/Comprehension ulikuwa unayapatia
 
Mzee wako alikuwa pia na uhuru wa kutokuwazaa kama alikuwa hataki kuhangaika juu yako/yenu. Na wewe pia una uhuru wa kutokuzaa kama hautaki kuhangaika kwa ajili ya unaowaleta duniani. Lakini usifyatue tu watoto na kutokuyaandaa maisha yako eti watoto watakusaidia.
Ukikaa na kutafakar maneno hyo ulioyaandika utajua kma unachokusupport sio sahihi.
 
Mkuu huu ndio ukweli na wala si hasira na wazazi wangu. Mimi pia ni mzazi wa kesho unafikiri mada hii haitanihusu kama nikizembea kwa uzembe na kula anasa nikiwa kijana. Nikitapanya mali kwa uasherati unadhani jina la Baba jinga halitanipata. Endelea kufikiri hivyo hivyo ila wenzako wenye akili wameelewa mantiki na ujumbe uliokuwepo kwenye hili bandiko
Unajua watu hawapingani na fikra zako ila maneno yako ulioyatumia hyajaleta taswira nzuri.
 
Mtoa mada anatukumbusha kutumia ujana vizuri ili uzeeni tusipate shida. Tuna wajibu Wa kuwasaidia wazazi wetu ila pia tuna wajibu Wa kujiandaa na maisha ya uzeeni, tufanye Kazi tuwekeze kwa maisha ya baadae
Mtoa mada concept yake inaeleweka ila tatizo kubwa tu utumiaji wa lugha ndio imekua shida.
 
Back
Top Bottom