Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

Basi wewe ni mpumbavu,kibaraka mkubwa wa mafisadi usiye na aibu unayechekelea kuwanyonya wafanyakazi masikini wa Tanzania.

Hekima na busara sufuri kabisa unapuuzia vipi tuhuma za udini? mpuuzi na mpumbavu mkubwa zaidi wewe! hata kuelewa taabu unadandia gari moshi kwa mbele.
 
Dr. Dau hivi unataka wagonjwa wetu wafe ndo utupe pesa zetu? Watu wamefanya kazi kwa malengo ya kusoma na kutunza familia we hutaki?
 
401K kule USA ukiamua hata leo unajitoa na kuchukua mafao yako ikiambatana na kodi ya asilimia 10 ya uliyochangia ww na mwajiri wako!Ukifikisha miaka 65(USA) HUKATWI kodi unachukua mafao yako yote!!

Kusema kuwa hamna mafao ya kujitoa duniani siyo kweli!!
 
Dr. Dau yawezekana fedha zimeshatafunwa au? Na kama zipo basi mifuko hiyo haina nia ya dhati ya kumpa mfanyakazi nafuu ya maisha. Huyu Dau asidhani Wafanyakazi ni wajinga wala hawajui chochote kuhusu mifuko ya hifadhi ya jamii duniani. Afahamu kuwa tunahitaji kujijenga kiuchumi kabla ya miaka 55 kwani waliosubiri miaka ya kustaafu hayo mafao hayajawasaidia hata kama @ alipewa shilingi milioni 100, kwani wakati huo akili zimechoka hivyo hawana uwezo wa kupangilia fedha hizo hatimaye wanaishi maisha ya kuombaomba. Hayo maisha hatutaki na si lazima tuige kutoka nchi zingine. Kwanini wasiige yale mazuri kutoka nje? Badala yake wanachukua yale yanayowakandamiza raia.
 
Fao la kujitoa liondolewe lakini sasa mtu mwenye umri wa kufanya kazi anapokuwa hana kazi, kipindi anapotafuta kazi apewe posho. Hivi ndivyo nchi za wenzetu wenye nchi kweli wanafanya. Siyo kuwatelekeza watu kama kuku wa kienyeji wakati hela zao mnazo na mnazidi kuzifanyia biashara kwa kisingizio cha kuwawekea hadi wazeweke!. Vinginevyo rudisheni fao la kujitoa.
 
Tatizo la hii inji imekuwa ikineemeka toka Enzi ya huyo Baba wa taifa ni kuwa wananchi ndio wanaoilisha serikali kupitia jasho letu na itaendelea hivi unless mapinduzi yatokee na kuiondoa serikali madarakani kabsa.
 
Hii ndio shida ya elimu ya copy and paste. hakuna ubunifu kulingana na mazingira tuliyo nayo. according to him kama kitu hakipo huko duniani basi na hapa hakiwezekani!! siku akimuona mzungu kavaa nguo ya ndani kichwani basi atataka na watanzania tuige!! shame on him.be creative use your education to come with something new for your people.hawa ndio wale ambao kwakuwa amezaliwa na kukua akiona baba yake kila asubuhi anaacha vijisenti vya chakula basi na yeye anaendelea kufanya hivyohivyo hata kama ana uwezo wa kununua kwa wingi!! ubunifu sifuri,sifuri kabisaaa.
 
Jamani hivi mtu katoka mgodini(mwanafunzi), alikuwa anakatwa nssf naye asubiri miaka 60?

Mgodini wanafukuza na kuajiri kila siku,hao wachimbaji waliofukuzwa watapata lini mafao yao?

Je makampuni ya madini yana uwezekano wa kuendesha mgodi kwa miaka tajwa na nssf?

Kuna viongozi wanakuwa hawajui mazingira halisi ya wafanyakazi,na wakiendelea namsimamo wao ya RSA yatatokea TZ.
wanajua wanacho kifanya.fedha hizo wanataka kuzifanyia makaratee kwenye uchaguzi mkuu 2015.wewe subiri utaona. kule walioko zoea kuchota watu macho yao yote yapo hapo hawawezi tena.je vipeperushi na vipeperushwa 2015 itakuwaje? maandalizi ccm isifedheike sana maana kushindwa ni lazima.
 
Ukiona mtu anatoa utetezi wa kipuuzi namna hii, ujue lipo jambo. Si ajabu NSSF imefilisika na Bw. Dau anatafuta pa kutokea. Tangu shirika hili limeanza zaidi ya miaka 30 iliyopita, leo hii ndiyo mpuuzi Dau anakumbuka kuwa hakuna mafao kwa wanaojitoa. Kwa kweli ni maajabu. Hatutakubali mafao yetu yachezewe.
 
natamani kulipua mafuta house afie ndani huyo dau! kikwete na dau tupeni pesa zetu, msituchezee, I HATE CCM, I HATE JK!
 
401K kule USA ukiamua hata leo unajitoa na kuchukua mafao yako ikiambatana na kodi ya asilimia 10 ya uliyochangia ww na mwajiri wako!Ukifikisha miaka 65(USA) HUKATWI kodi unachukua mafao yako yote!!

Kusema kuwa hamna mafao ya kujitoa duniani siyo kweli!!

Malafyale, mwenzio hizo nchi za duniani kote ametaja Kenya na Zanzibar, we unaenda Marekani kote huko kufanya nini?, nchi mbili tu zimewakilisha dunia na nchi zenyewe ni Zanzibar na Kenya basi! Halafu huyo nae ni Dr.!!? Mmmm!
 
Back
Top Bottom