Hakuna cha Bata wala Kuku wa kienyeji

Hatuongelei mtazamo wa kula bata kwa mazingira ya rushwa bali ni mtazamo wa “work hard, play hard “
Even though, who was denied to have fun if they chose to do so. Mtu anajikuna pale mkono unapofika, if you promise the voters that they will work hard and play hard they expect nothing else than what you promise then. Now will the be paid enough to fulfill other obligation and also have extra for having fun?
 
Heri kutawaliwa na shetani kuliko kutawaliwa na Jiwe! Piga kelele lakini Membe ndiye Rais 2020 wewe jiandae kulipwa kipato halali kwa kufanya kazi sio kukaa humu JF kwa upambe ukisubiri buku 7
Mbona na wewe umekuwa mpambe wa Membe, au nakusoma vibaya?
 
Kama watu wana uwezo wa kuzalisha kwa wingi na wana soko zuri kwa nini isiwezekane!? Kama serikali itakuwa na uwezo wa kukusanya mapato vizuri kutokana na sera nzuri kwa nini isiwalipe vizuri waajiliwa wake!? Kama unahisi kuwa kula bata haiwezekani hiyo ni kwako tu lakini usitake kuaminisha watu kuwa hakuna kula bata, kama serikali yako ambayo imeshindwa kuwa fanya watu wale bata tangu uzaliwe basi usidhani kuwa hakuna watu wenye mawazo mbadala wa kuwafanya watanzania wale bata, hata mtu afanye kazi vipi au ajitume vipi mwisho wa siku anafanya hivyo ili ale bata tu
Even though, who was denied to have fun if they chose to do so. Mtu anajikuna pale mkono unapofika, if you promise the voters that they will work hard and play hard they expect nothing else than what you promise then. Now will the be paid enough to fulfill other obligation and also have extra for having fun?
 
Hebu soma slogan vizuri kwanza kisha itafakari, ina utofauti na Ile ya Maisha bora kwa kila Mtanzania. Kwa lugha nyepesi sana bata ni subject ya kazi katika hii slogan, naona unataka jitoa ufahamu na kuelezea maelezo mengi op.
 
Kama watu wana uwezo wa kuzalisha kwa wingi na wana soko zuri kwa nini isiwezekane!? Kama serikali itakuwa na uwezo wa kukusanya mapato vizuri kutokana na sera nzuri kwa nini isiwalipe vizuri waajiliwa wake!? Kama unahisi kuwa kula bata haiwezekani hiyo ni kwako tu lakini usitake kuaminisha watu kuwa hakuna kula bata, kama serikali yako ambayo imeshindwa kuwa fanya watu wale bata tangu uzaliwe basi usidhani kuwa hakuna watu wenye mawazo mbadala wa kuwafanya watanzania wale bata, hata mtu afanye kazi vipi au ajitume vipi mwisho wa siku anafanya hivyo ili ale bata tu
Swali langu lilikuwa jepesi sana, is that difficult to do it today? Kwani kuna mtu hivi leo amekatazwa kula bata au anazuiwa kwa sheria yoyote ile? Tunapo letewa sera kama hii bila maelezo ya utekelezaji wake, kwetu inakuwa ahadi isio na miguu wala mikoni, maswali ni mengi sana, utekelezaji wake utatekelezeka vipi? Kwa kutungiwa sheria ya kulazimisha watu wafanyekazi na wakimaliza wakale bata au? Kumbuka sehemu kubwa ya bajeti ya serikali inaishia kulipa wafanyakazi mishahara, unaposema serikali itakusanya mapato vizuri yatakayotosheleza kulipa mishahara mizuri, hizi Kodi nzuri zitatoka wapi kama sio kupandisha Kodi za biashara na makapuni huku ukipunguza kodi za wafanyakazi ndio waweze kujisikia wananyongeza mifukoni Huwezi kuwapa watu muda wa kula bata na hapo hapo unawatoza kodi kubwa, hata Kodi zingine katika maisha yao ya kila siku itabidi zipunguzwe ili wafanyakazi wajione wanabaki na pesa ya kula bata baada ya gharama za maisha. Walio leta sera ya kazi na bata lazima watuwekee mtiririko wa sera yao maana mimi sioni kama inatekelezeka kwa nchi inayojaribu kujikwamuwa kutoka kwenye weak productivity.
 
Mwanzi1

..miaka 3 ya Hapa Kazi Tu haijaleta matokeo chanya.

..Mazingira hayo ndiyo yamepelekea watu waje na kauli mbiu na sera ya Kazi na Bata.

..mnaounga mkono Hapa Kazi Tu mnatakiwa mjizatiti kwa mbinu na mikakati mipya ili sera hiyo iweze kutoa matokeo bora zaidi ktk maisha ya waTz.
 
Mtu anayelinda usiku anakula bata saa ngapi!? Serikali inayopandisha kodi kwa bidhaa au biashara ili kupaisha mapato ni ile iliyofilisika kimawazo, serikali imara ni ile inayobuni vyanzo vingine vya kupata kodi tofauti na ilivyonavyo, mfano kuweka mazingira rafiki hasa kwa wajasiliamali, sasa leo ukitaja kufungua biashara ndogo tu huo mlolongo wa hatua na kodi unakatisha taama hasa kwa vijana wenye mitaji midogo ambao wana nia ya kuanzisha biashara

kufanya kazi usiku sio kigezo kitakachokushinda kula bata kama unataka. Masaa ya kufanya kazi unachagua mwenyewe hupangiwi na mtu na kwa sheria ya kazi mfanyakazi anaweza kufanya kazi hadi masaa 160 kwa mwezi, akizidisha hapo huo ni uwamuzi wake aliokibaliana na muajiri wake. Unaposema mlolongo wa Kodi unawakatisha tamaa vijana ingesaidia zaidi kama ungeweka ni Kodi za aina gani na kama ukiziondoa, pengo la lake litazibwa na mapato gani.
 
Mwanzi1

..miaka 3 ya Hapa Kazi Tu haijaleta matokeo chanya.

..Mazingira hayo ndiyo yamepelekea watu waje na kauli mbiu na sera ya Kazi na Bata.

..mnaounga mkono Hapa Kazi Tu mnatakiwa mjizatiti kwa mbinu na mikakati mipya ili sera hiyo iweze kutoa matokeo bora zaidi ktk maisha ya waTz.
Miaka mitatu ni midogo sana kukupa kipimo cha mafanikio ikiwa unewekeza kwenye mipango ya muda mrefu. Hata mto ukimweka shule leo na ukampa kipa kitu, matunda yake hutayapata siku hiyo hiyo ya kwanza. Kazi na bata ni kuwaambia watu mtaishi maisha yaleyale mlioishi zamani maama hakuna aliyekatazwa Kula maisha hivi sasa. Unless kama utawapunguzia watu mzigo wa Kodi ili kuwapa masalio mengi mifukoni. Lakini ujuwe itabidi kupandisha Kodi maeneo mengine kuziba pengo la ukosefi wa mapato ya serikali.
 
kufanya kazi usiku sio kigezo kitakachokushinda kula bata kama unataka. Masaa ya kufanya kazi unachagua mwenyewe hupangiwi na mtu na kwa sheria ya kazi mfanyakazi anaweza kufanya kazi hadi masaa 160 kwa mwezi, akizidisha hapo huo ni uwamuzi wake aliokibaliana na muajiri wake. Unaposema mlolongo wa Kodi unawakatisha tamaa vijana ingesaidia zaidi kama ungeweka ni Kodi za aina gani na kama ukiziondoa, pengo la lake litazibwa na mapato gani.
Fanya utafiti sio umekaa ukisubiri mimi nije nikwambie, mimi ni kijana mmoja kati ya vijana mamilioni, maoni yangu sio valid mpaka uwe na sample ya watu wengi
 
Hapana sidhani kama unataarifa yoyote ambayo sijawahi kuisikia au kudokezwa. Wanasiasa wamezoea kuja na vibwagizo kama hivi na kutoa ahadi kwa vijana ambazo wanajua hazitekelezeki mwisho wa siku vijawa wanakosa walicho tarajia na kubaki kulaumu. Mimi nimeweka bayana hapa kama mtu anaahidi sera kama hizi za kazi na bata, basi aje na njia atakayo pitia kufanikisha alichokisena. Tanzania inazalisha wahitimu wa chuo sio chini ya 900,000 kwa mwaka, anza kuwapa hao watu kazi kwanza, halafu mishahara mnono (inamaana punguzo la kodi) na uwasaidie kulipa madeni ya mikopo ya elimu yao, halafu ndio utajua kama huyo bata atalika au la.
 
Una taarifa zote cha ajabu unaniuliza, haya sawa
 
Nakuuliza maswali mengi mbayo inadhihirisha kwa asilimia mia haujajiuliza, unapoahidiwa bata mlipaji ni nani? Serikali au jumuia ya kimataifa. Wanasiasa wamekupa kibwagizo tu bila kukueleza jinsi ya watakavyo kukulisha huyo bata. There is nothing like free lunch.
 
"Mazingira ya kufanyia biashara nchini bado ni tatizo. Usafirishaji, utitiri wa taasisi za usimamizi, ucheleweshaji bandarini, tatizo la umeme, kutumia muda mrefu kupata vibali vya biashara. Pia tumekuwa hatufanyi vizuri katika kuvutia wawekezaji."- Rais Dkt Magufuli leo akiongea kwenye mkutano na TRA, sijui unasemaje hapa
 
Umekosea hapo mwisho tu.lakini ukweli ndio huo hata Ufaransa leo hii kuna maandamano ya Yellow VestHAKUNA CHA BATA WA KUKU.
 
"Mazingira ya kufanyia biashara nchini bado ni tatizo. Usafirishaji, utitiri wa taasisi za usimamizi, ucheleweshaji bandarini, tatizo la umeme, kutumia muda mrefu kupata vibali vya biashara. Pia tumekuwa hatufanyi vizuri katika kuvutia wawekezaji."- Rais Dkt Magufuli leo akiongea kwenye mkutano na TRA, sijui unasemaje hapa
Haya yote hayawezi kubadilikia kwa sera ya kula bata, kwanza ukila bata ndio kila kitu kitakwama maana productivity itaporomoka, serikali itabidi ikope zaidi kuwapa watu uwezo wa kufanya shughuli zao huku wakiwatoza kodi ndogo.

Mara nyingi Kodi ikiwa ndogo unapata wababaishaji wengi kwenye ukumbi wa uwekezaji (speculators) kuliko wawekezaji wa kweli. Tujikumbushe miaka ya nyuma tulipokuwa na misamaa ya Kodi ya uwekezaji jinsi tulivyo pata wababaishaji wasio lipa Kodi, muda wao ukisha wanafanya ujanja na kukimbia. Wengie wanau hata zile radilimali walizo zikuta.
 
Back
Top Bottom