Nahitaji kununuwa kuku wa kienyeji na bata, nipo Kigamboni

RamsoMaya

Member
Mar 24, 2023
42
43
Habari za leo waungwana.

Ninashida ya vifaranga wa kuku wa kienyeji na bata, wakiwa chotara ni vizuri zaidi, kuanziya mwezi mmoja.

Napatikana: 0689360264
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom