Shule yako ndio ndogo! Mfano: ulitaka BOT ajiridhishe na documents zipi wakati Ag kajiridhisha juu ya ulipaji wa pesa! Mwenye akaunti holder sio BOT bali Serikali!Tatizo ni wewe unaesoma kichwa cha habari na utumbo huusomi, kasome vizuri.
Hivi hizi shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Shule yako ndio ndogo! Mfano: ulitaka BOT ajiridhishe na documents zipi wakati Ag kajiridhisha juu ya ulipaji wa pesa! Mwenye akaunti holder sio BOT bali Serikali!
Baada ya kusikiliza ripoti rasmi ya PAC iliyowasilishwa na Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe nnadiriki kusema kuwa hakuna cha maana kwenye ripoti yao cha kuwafanya mawaziri kuwachia ngazi.
Ni drama tu lakini hakuna kipengele chochote cha sheria ambacho hakijibiki au kilichooneshwa kuwa kimekiukwa.
Hukumu ya Mahakama ni ya halali na haina utata na Zitto wala CAG wala TAKUKURU hawajaonesha kuwa ilikuwa ni batili au ya kughushi.
Zitto kapiga porojo nyingi sana kuliko ukweli, na mwanasheria yoyote mahiri anazisambaratisha hoja zake zote ndani ya nusu saa.
Zitto ametetea sana BoT lakini alichoshindwa kuelewa ni kuwa Bot kama wakala ndiye alitakiwa aridhike na vielelezo vyote kabla hajalipa na kama havijakamilika hawezi kutoa fedha. Zitto anasema eti Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye alimuamuru Gavana hizo fedha zitolewe, toka lini Gavana wa benki anatoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?
Utata wa IPTL na Standard Chartered ni huko-huko kwao si IPTL iliyokopa, iliyokopa ni Mechmar na Mechmar haiwezi jitokeza kwani imeshafilisika kisheria, Standard Chartered karata yao ya mwisho ni hii na hapa wamepata mwanya.
Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto.
Nnashauri, wajadili hili suala bungeni lakini shauri liwachwe kesi kumi zilizopo mahakamani zinazoihusu IPTL zikamilike.
Mapendekezo ya Zitto ya watu kuachia nyadhifa zao ni ya kishabiki na hayana mshiko, watu hawaachii tu nyadhifa zao kwa habari kama hizi ambazo hazina mshiko wa kisheria.
Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto.
Kuna mengi sana ya kuchambua lakini tusubiri kesho, tusiandikie mate na wino upo. Ni matumaini yangu kuwa wote waliotajwa watapewa fursa ya kujibu. Na hapo ndipo mtamjuwa Chenge ni kichwa.
Baniani Mbaya Kiatu Chake Dawa dada FaizaFox hawa wapinzani wanaisaidia nchi kutoka kwa wezi hivi haki lillahi unaweza kusema huoni baya lililotendwa na hawa waheshimiwa kweli? Jitafakari tuache siasa za ushabiki nchi inaangamia dada angu CCM lazima ipumzike imechoka.
Wewe mama ni maji taka, ccm na nyie wapiga debe ni vichwa maji,mnataka kutuona sisi Watanzania ni kama nyie, aibu yenu. Na bado hata waziri mkuu amekalia kuti kavu.Sihangaiki bali natoa mawazo kwa muono wangu kama wewe unavyotoa mawazo yako kwa muono wako.
SAY NO WITHOUT FEAR
Thanks Jasusi and members; Tatizo sio kwamba hatuna wasomi wanaoweza kutufikisha kule tunakotaka bali wananyimwa nafasi na watoa rushwa na hawa vibaka. Just angalia jinsi tulivyompata JK mtandao na takrima; hivi sasa hata akikutana na wenzake sijafahamu inakuwaje maana jinsi anavyowakumbatia M7, Kagame and the like is unbelievable.
Ni kwa nini marais wetu hawataki kuwaambia marais wakorofi madhambi yao, huu ni uoga usio kifani M7 na Kagame wanatakiwa waambiwe ukweli wao, hata kama hataki kuwaambia uso kwa uso awapelekee ujumbe mkali. Vile vile Mugabe ambaye tulimsaidia.
JK Inabidi aanze kusema No kwa mambo ambayo hayana faida na Bongo. Hatupo hapa kuwafunza majirani zetu wapendane au wakae kwa amani na kuwa baby-sit. Ndio hawa hawa kila siku wanasema sisi ni masikini wa mwisho na wanapopata shida wanakimbilia kwetu. Tanzania itajengwa na sisi wenyewe sio kutegemea majirani zetu.
Nchi ambazo wanahitaji wakimbizi waje wawachukue maana tumechoka nao.
Wewe mama ni maji taka, ccm na nyie wapiga debe ni vichwa maji,mnataka kutuona sisi Watanzania ni kama nyie, aibu yenu. Na bado hata waziri mkuu amekalia kuti kavu.
wewe mama ungekuwa unashikika ningeku............. , yaani na uchungu na wewe, yaani pamoja na watuhumiwa kuanza kuwajibika bado unajitetea,mama chunga;usije ingia mkononi mwangu.Umeaminishwa ujinga.
Hilo baya liko wapi?
Ulitaka umeme wa bure?
wewe mama ungekuwa unashikika ningeku............. , yaani na uchungu na wewe, yaani pamoja na watuhumiwa kuanza kuwajibika bado unajitetea,mama chunga;usije ingia mkononi mwangu.
November 39??? Check vizuri mkuu
Du! weye bi kizee umedinda na kukomaa katka suala hili kama nanihii........Werema hakuachia ngazo kwa kuwa kaiba msome kasema nini.
Hlo la wizi sijaliona, nnachokiona ni chuki na ujinga. Nimekuuliza, mlitaka umeme wa bure?
November 39, 2014 bado haijafika na pengine isifike mpaka werema anaingia kaburini.
Halafu hebu acha kujitoa ufahamu kwa kupotosha kama huyu ajuza humu.
nani asiye elewa? wewe ulisema hakuna atakaye achia ngazi sasa mbona Werema kaachia? Acha umbea,wewe ndiyo hauelewi, ungekuwa ikulu ungenielewa,mimi ni mtaalamu kuhusu uchumi na si mshabiki wa siasa kama wewe,pale tunapozuiwa fedha za ruzuku ujue ikulu haita kuwa salama,sasa unafikiri bajeti itaendaje? sasa huu ni ukweli subiri uone kitakacho fuata kwa akina Muhongo na wenzake ikibidi hata waziri mkuu.Kasome vizuri, bado hujafikia kiwango cha uelewa. Waziri Mkuu ana miezi kumi aondoke akipenda asipende, na si yeye tu hata Rais pia. Kumbuka hilo.
unanipotezea muda, fedha za ESCROW ziliibiwa, sisi tuzungumze ukweli na tuondoe mambo ya ushabiki, na ikulu na ofisi ya waziri mkuu zinajua haya ndiyo maana walianza kusema siyo fedha za umma,leo wanaanza kuwajibika la ajabu wewe bado unakomaa hivi wewe ni Mtanzania kweli?Swala la umeme wewe unajua ni lazima kulipa bila kulipa huwezi pata umeme na siyo tulipe halafu ccm wazichote hiyo haivumiliki vinginevyo ni kuwaangusha kwenye uchaguzi.Werema hakuachia ngazo kwa kuwa kaiba msome kasema nini.
Hlo la wizi sijaliona, nnachokiona ni chuki na ujinga. Nimekuuliza, mlitaka umeme wa bure?
unanipotezea muda, fedha za ESCROW ziliibiwa, sisi tuzungumze ukweli na tuondoe mambo ya ushabiki, na ikulu na ofisi ya waziri mkuu zinajua haya ndiyo maana walianza kusema siyo fedha za umma,leo wanaanza kuwajibika la ajabu wewe bado unakomaa hivi wewe ni Mtanzania kweli?Swala la umeme wewe unajua ni lazima kulipa bila kulipa huwezi pata umeme na siyo tulipe halafu ccm wazichote hiyo haivumiliki vinginevyo ni kuwaangusha kwenye uchaguzi.