MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,513
nisome vizuri sana. Naona una kiherehere.
..foxy...!!!!
nisome vizuri sana. Naona una kiherehere.
hahahaaa upoo!!
KUHESABIWA!!!! wapiiiii???Yaaap magumash nakaribia kwenda kuhisabiwa yehetehee
Wewe uhusiano huo wa yako umewaachia wenzako. Hilo ndio tatizo.
Werema kafunika kombe mwanaharamu apite, na alishatangaza hilo bungeni kwa tuliofatilia mjadala, tunalielewa hilo.
Alisha lisema hilo hata kabla ya PAC kuwasilisha utumbo wao. Ni mapunguani ndiyo waliokuwa hawajamuelewa.
Kwahiyo Mwenyekiti amepelekewa mapendekezo ya "utumbo"?
November 39, 2014 bado haijafika na pengine isifike mpaka werema anaingia kaburini.Nimeamini kweli kuna watu ni weoesi wa kusahau. Kuna member humu iliweka bandiko na kutoa tagadhari kuwa, itakapotokea Werema amewajibishwa au kujiuzuru sababu ya suala la escrow, basi haoo tutambue kuwa tumedanganywa.
November 39, 2014 mkataba wa Werema utakua umekwisha kwa mujibu wa sheria kwa kuwa umri wake wa kustaafu itakuwa umefika. Maneno mengine yaliyomo kwenye barua yake ya kujiuzuru ni aina nyingine ya sarakasi ili kuendelea kumlinda Mr. Big.
Tukiendelea kukarori wahusika waliotajwa na PAC tutakua na sisi tunasaidia kuwa cover wahusika halisi.
Ila ndiyo ameshaachia ngazi kwa sakata la escrow..... Haijalishi kama ni kwa kufunika kombe Mr Dhaifu apone au kisheria. Point kuu ni kuwa kaachia ngazi.Werema kafunika kombe mwanaharamu apite, na alishatangaza hilo bungeni kwa tuliofatilia mjadala, tunalielewa hilo.
Alisha lisema hilo hata kabla ya PAC kuwasilisha utumbo wao. Ni mapunguani ndiyo waliokuwa hawajamuelewa.
Naona unashindwa kuelewa tofauti kwa kuwa u finyu tu. Maazimio ya Zitto alishindwa kuyatetea na yakasambaratishwa. Kama unakumbuka, alisimama Chenge na hapo ndiyo pakawa hapatoshi. Isome vizuri post namba moja, nimeandika nini. Au umesahau?
Hivi hizi shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
= libadili
Nimekusoma ulikuwa unaota hivi 'Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow', kuna siku nilikuambia kama unampenda sana Werema muweke au houseboy wako.Nisome vizuri sana. Naona una kiherehere.
Nimekusoma ulikuwa unaota hivi 'Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow', kuna siku nilikuambia kama unampenda sana Werema muweke au houseboy wako.
Ulidhani urais wa Kikwete una ubia.
Ahahahahah, asante kipenzi. Rugha mama ndio imeniasiri. Ila walau siku izi makosa yanapungua. Si eti,?
Pole sana kwa kuanzisha uzi ukisema hakuna atakayeachia ngazi lakini leo Werema ameachia ngazi! Hii ya kisingizio cha kufunika kombe kawaulize World bank na washirika wake watakujibu vema!! Usikonde!!
Baada ya kusikiliza ripoti rasmi ya PAC iliyowasilishwa na Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe nnadiriki kusema kuwa hakuna cha maana kwenye ripoti yao cha kuwafanya mawaziri kuwachia ngazi.
Ni drama tu lakini hakuna kipengele chochote cha sheria ambacho hakijibiki au kilichooneshwa kuwa kimekiukwa.
Hukumu ya Mahakama ni ya halali na haina utata na Zitto wala CAG wala TAKUKURU hawajaonesha kuwa ilikuwa ni batili au ya kughushi.
Zitto kapiga porojo nyingi sana kuliko ukweli, na mwanasheria yoyote mahiri anazisambaratisha hoja zake zote ndani ya nusu saa.
Zitto ametetea sana BoT lakini alichoshindwa kuelewa ni kuwa Bot kama wakala ndiye alitakiwa aridhike na vielelezo vyote kabla hajalipa na kama havijakamilika hawezi kutoa fedha. Zitto anasema eti Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye alimuamuru Gavana hizo fedha zitolewe, toka lini Gavana wa benki anatoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?
Utata wa IPTL na Standard Chartered ni huko-huko kwao si IPTL iliyokopa, iliyokopa ni Mechmar na Mechmar haiwezi jitokeza kwani imeshafilisika kisheria, Standard Chartered karata yao ya mwisho ni hii na hapa wamepata mwanya.
Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto.
Nnashauri, wajadili hili suala bungeni lakini shauri liwachwe kesi kumi zilizopo mahakamani zinazoihusu IPTL zikamilike.
Mapendekezo ya Zitto ya watu kuachia nyadhifa zao ni ya kishabiki na hayana mshiko, watu hawaachii tu nyadhifa zao kwa habari kama hizi ambazo hazina mshiko wa kisheria.
Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto.
Kuna mengi sana ya kuchambua lakini tusubiri kesho, tusiandikie mate na wino upo. Ni matumaini yangu kuwa wote waliotajwa watapewa fursa ya kujibu. Na hapo ndipo mtamjuwa Chenge ni kichwa.
Kumbe FaizyFoxy huwa ni kichaa wahedi, katika uzi huu ulisema hakuna wa kujiuzulu sasa yamekuwa Kubwa la Maadui Mzee wa kuamulisha Papa Werema AKA ya Kafulila (Mwizi) Kajiwajibisha, upo hapo?