Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

Status
Not open for further replies.
Hiki kibibi foxy kitakumbukwa sana jf kwa ubishi wa kijinga,anabishia hata maandishi yake...
 
unanipotezea muda, fedha za ESCROW ziliibiwa, sisi tuzungumze ukweli na tuondoe mambo ya ushabiki, na ikulu na ofisi ya waziri mkuu zinajua haya ndiyo maana walianza kusema siyo fedha za umma,leo wanaanza kuwajibika la ajabu wewe bado unakomaa hivi wewe ni Mtanzania kweli?Swala la umeme wewe unajua ni lazima kulipa bila kulipa huwezi pata umeme na siyo tulipe halafu ccm wazichote hiyo haivumiliki vinginevyo ni kuwaangusha kwenye uchaguzi.

Fedha za escrow hazikuibiwa ni za malipo halali ya umeme uliotumiwa. Kwanini fedha zikae escrow? ulitaka umeme wa bure?
 
Kichaa ni wewe usiyeelewa hata unachokisoma, kuanzia asubuhi nawaona mnavyohangaika na huu uzi, hivi nawauliza, hizi shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Rudia hiyo nyuzi, useme hiki ni nini?

"Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto".

Mnasikitisha sana, ndiyo maana kumbe Tanzania hatuendelei, ikiwa Watanzania ndiyo hivi, aaah, wacha Kikwete aseme hajuwi kwanini mu masikini, maana mimi sasa nimepata jibu na nnauhakika hata mnachokisoma hamkielewi. Mtaacha kuwa masikini? mu masikini vichwani mwenu.
Nadhani wewe mama unatumiwa na ccm pamoja na watu wa mitandao ili kutufanya tuwe busy na thread zako za kijinga, una akili chafu kweli,habari za ESCROW wewe hauelewi,kama ungekuwa ikulu ungenielewa ila sasa uko Lumumba utanielewaje? yaani hili jambo Kikwete analielewa vema,wewe ni maji taka huwezi kuelewa,sasa kama WB na jumuiya za EU zimesitisha misaada kisa ESCROW usifikiri hao ni wajinga, mjinga ni wewe unayeleta mambo ya ushabiki kwenye mambo yenye uhalisia,bora basi kukaa kimya itakuwa ni busara.
 
Fedha za escrow hazikuibiwa ni za malipo halali ya umeme uliotumiwa. Kwanini fedha zikae escrow? ulitaka umeme wa bure?
Ok,umesema vema tena wewe ni mwerevu kuliko wote, ila ni jibu kama haziku ibiwa tuletee miamala yote na kule ilipo kwenda, tena utujibu kwa nini yule afisa wa benki alifukuzwa kutokana na kule kuruhusu miamala ambayo ni "Ethically wrong, according to bank regulations and prinples" na ueleze kama ni halali pesa ambazo zilikuwa zinatakiwa kulipwa kwa James Rugemalila na IPTL A/C ambao ndiyo wanahisa, zimeenda kwa hao waliopokea kama utakavyo leta hiyo miamala. Usipofanya hivyo usiongelee jambo usilo lijua, uache umbea.
 
one gone..more to go....whether you like it or not...hard pill to swallow...
Neno kuntu hii. Ila mbishi huyooo.!! Alipata kushinda mashindano ya kubishana na radio.
 
Fedha za escrow hazikuibiwa ni za malipo halali ya umeme uliotumiwa. Kwanini fedha zikae escrow? ulitaka umeme wa bure?
Halafu naomba nikuelimishe kidogo, pesa za ESCROW zilipaswa kulipa chini ya mkataba wa mahakama ya kimataifa ya biashara na kwa miamala iliyofanywa hii mahakama haiitambui ndiyo maana tunasema pesa imeibiwa,tusipo ibana serikali ili fedha zirudi ujue wazi IPTL itakuja dai hizo fedha kupitia hii mahakama hii ya biashara ya kimataifa, pole kwa kuwa ulikuwa hauelewi hili jambo.
 
Namfananisha sana na Bi. Hawa Ghasia a.k.a tafrani
 
Kuanzia Rais, Waziri Mkuu, hao mawaziri husika wote walitakiwa wawajibike kwa hili.
Wakiendelea kukomaa tutakutana hiyo 2015.

Yaani Mtani uko wapi?Ningekuletea zawadi ya Mgombani sasa hivi maana naenda kujhesabiwa.Hawa wangejiondoa tu tubaki wenyewe.

Kwanza hatuna Rais ,yule ni picha ya Rais ambayo inatakiwa kukaa UKUTANI mwa ofisi za watu mbali mbali.

Umenifurahisha kwelikweli kuongea ukweli japo UNAUMA sana
 
Kichaa ni wewe usiyeelewa hata unachokisoma, kuanzia asubuhi nawaona mnavyohangaika na huu uzi, hivi nawauliza, hizi shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Rudia hiyo nyuzi, useme hiki ni nini?

"Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto".

Mnasikitisha sana, ndiyo maana kumbe Tanzania hatuendelei, ikiwa Watanzania ndiyo hivi, aaah, wacha Kikwete aseme hajuwi kwanini mu masikini, maana mimi sasa nimepata jibu na nnauhakika hata mnachokisoma hamkielewi. Mtaacha kuwa masikini? mu masikini vichwani mwenu.

Wewe utakuwa mbumbu weled wako ni wamashaka au huwa unafanya makusudi ili utafute mkinzano wa maneno kwa kuanzisha thread zenye lugha gongana kuwa upande wa utetezi kwa aliyefanya vibaya hata ccm yenyewe ikaona hawafai lakini kwa kuwa una roho ya kifisadi utaendelea kutetea uvundo tu maana baadhi ya maccm yenye choyo ndivyo mlivvo.

Kafulila kawashika babaya, kafua roho zenu zote chafu zenye uibilisi wa shetani mtakavitu, mpaka mkabeba pesa kwenye lumbesa huku MSD hakuna dawa.
 
Werema hakuachia ngazo kwa kuwa kaiba msome kasema nini.

Hlo la wizi sijaliona, nnachokiona ni chuki na ujinga. Nimekuuliza, mlitaka umeme wa bure?
Khee... Hivi kati ya wewe na kiboko nani kiboko..?? Maana wala haikushangazi kwa nini hakuachia ngazi kabla ya hii skandali ya ESCROW....
 
Sasa mwanasheria Mkuu amejiuzulu unawezasema hajajiuzulu!
 
Kiko wapi ulichobashiri???? Wereme kawa mkuu wa majeshi??? soma alama za nyakati mkuu
 
Kweli kabisa, huyu bibi bomba kazoea kushikwa makalio. Ubishi wa kipu.mbavu sana kwa vitu vilivyo wazi kabisa.

Uoni kuwa unapoteza muda wako kwa kubishana na huyu mama mnafiki.
 
Pole, maana naona washaanza kuachia mmoja mmoja. Inaonekana huyu aliyeachia hajui sheria au sio mwanasheria kama wewe ndo maana kaamua kuachia tu maana angekuwa mjuzi wa sheria angekaa na kupangua hoja zote ndani ya nusu saa.
 
Fedha za escrow hazikuibiwa ni za malipo halali ya umeme uliotumiwa. Kwanini fedha zikae escrow? ulitaka umeme wa bure?

Kwann hazikulipwa IPTL zikalipwa Escrow kama charges halali?? Nahisi kama watu wanakuonea hivi?
 
Kosa limerekebishwa. Ulikua na kazi nyepesi sana na ya busara ya kuonyesha kosa, nashangaa huo mlolongo na 'ufundi' wa maneno umekujaje hapa.
Sawa japo haiondoi ukweli kuwa umepotosha kuhusu tarehe ya werema kujiuzulu.
 
Baada ya kusikiliza ripoti rasmi ya PAC iliyowasilishwa na Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe nnadiriki kusema kuwa hakuna cha maana kwenye ripoti yao cha kuwafanya mawaziri kuwachia ngazi.

Ni drama tu lakini hakuna kipengele chochote cha sheria ambacho hakijibiki au kilichooneshwa kuwa kimekiukwa.

Hukumu ya Mahakama ni ya halali na haina utata na Zitto wala CAG wala TAKUKURU hawajaonesha kuwa ilikuwa ni batili au ya kughushi.

Zitto kapiga porojo nyingi sana kuliko ukweli, na mwanasheria yoyote mahiri anazisambaratisha hoja zake zote ndani ya nusu saa.

Zitto ametetea sana BoT lakini alichoshindwa kuelewa ni kuwa Bot kama wakala ndiye alitakiwa aridhike na vielelezo vyote kabla hajalipa na kama havijakamilika hawezi kutoa fedha. Zitto anasema eti Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye alimuamuru Gavana hizo fedha zitolewe, toka lini Gavana wa benki anatoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

Utata wa IPTL na Standard Chartered ni huko-huko kwao si IPTL iliyokopa, iliyokopa ni Mechmar na Mechmar haiwezi jitokeza kwani imeshafilisika kisheria, Standard Chartered karata yao ya mwisho ni hii na hapa wamepata mwanya.

Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto.

Nnashauri, wajadili hili suala bungeni lakini shauri liwachwe kesi kumi zilizopo mahakamani zinazoihusu IPTL zikamilike.

Mapendekezo ya Zitto ya watu kuachia nyadhifa zao ni ya kishabiki na hayana mshiko, watu hawaachii tu nyadhifa zao kwa habari kama hizi ambazo hazina mshiko wa kisheria.

Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto.

Kuna mengi sana ya kuchambua lakini tusubiri kesho, tusiandikie mate na wino upo. Ni matumaini yangu kuwa wote waliotajwa watapewa fursa ya kujibu. Na hapo ndipo mtamjuwa Chenge ni kichwa.
na
werema amestaafu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom