Hakuna aliyejiumba!

uko sawa kabisa kichomiz kuna wengine wakiona mtu mweusi tu taabu tupu wanaamini watu weusi ni wabaya hata huyo mweusi angekuwa mzuri kiasi gani ila kwa kuwa yeye weupe ndo uzuri huwezi mshawishi kuwa weusi pia ni wazuri,kwa hiyo watu wenye hizo tabia waache kabisa hasa ile tabia ya kumponda mpenzi wa mwenzao kisa wao wanaamini si mzuri kwa vigezo vyao binafsi wanapaswa kuelewa kuwa kila shetani na mbuyu wake!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Mkosolewaji ni nani? Mimi ni fundi, nimejenga nyumba utaikosoa nyumba si ukosoe mjenzi? Tena mkosiaji ni nyumba nyingine niliyoijenga, haimake sense.

Mkosoe mtu kwa kazi ya mikono yake na sio kwa kujikuta yuko the way yuko. Dhana ya kumkosoa mtu kwa maumbile yake haikupaswa kuwepo in the first place, sijui vibamia, au miguu ka kuni za nyongeza na the like.

Asante Blue G kwa somo muafaka, l wish atleast 5% ya watakaosoma wabadilike; itakuwa bonge la achievement.
 
Last edited by a moderator:
uzuri sawa na utajiri aisee tuna fight wote ila mwenye destiny ya ku win ndo anajiona mjanja
 
Asante sana dada Kaunga kwa comment yako hasa kwa kutoa mfano mzuri kabisa unaotoa maana hata zaidi kwa kile nilichokisema mi pia nahope kuwa kuna watu wanaweza kufunguka na kubadili maoni yao kuelekea watu wanaowadharau kwa thread hii na comments za wadau wenye nia njema na kila mwana MMU.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo limeanza tu pale ambapo hata wewe mta mada umekubali kuwa kuna ubaya na uzuri

Binadamu ni kiumbe wa ajabu sana

Wakati Mungu anamuumba alimuumba na kumpa sifa kem kem

Kumbe alikuwa anajua ni kitu gani anafanya

Leo eti tunabaguana kwa kuitana mzuri na mbaya
Maskini na tajiri
Mfupi na mrefu n.k

Na kuna wengine wanafikia kusema hata hawakuumbwa

Binadamu ni kiumbe wa aina yake kwakweli

Haya tuendeleeni tuone tutapoishia!
 
naomba nikukosoe kidogo mkuu mwekundu utajiri wala si sawa na uzuri,mtu anapoumbwa haumbwi akiwa tajiri anakuja kuupata utajiri baada ya kuhustle yeye mwenyewe binafsi na hatimaye kuitwa tajiri but mwonekano wa mtu mtu anaumbwa akiwa na sura au umbo fulani na wala hana jinsi wala njia ya kuhustle ili abadili mwonekano wake na wala hana maamuzi au wa kumlaumu kuwa kwa nini yuko vile au hivi,au labda ndo aingie kwa wachina,surgery au macarolyte ili kuubadili mwonekano wake,sijui nimesomeka hapo mkuu?
uzuri sawa na utajiri aisee tuna fight wote ila mwenye destiny ya ku win ndo anajiona mjanja
 
Last edited by a moderator:

ukija in terms ya sex.mwanamke uzuri peke yake ni utajiri tosha -mjini msingi............
 

Mfano wa kujenga nyumba haurelate vema na hii mada nionavyo mie, kwani mjenzi anafata maelekezo toka kwa bosi ila uumbaji, unajikuta ndo ushakua ivo... anyway...
Anakosolewa mwenye nyumba kwasababu yeye ndie mwenye maamuzi ya jinsi nyumba iweje...
 
Last edited by a moderator:
Mr Eiyer kama umenisoma vizuri utaona kuwa nimeepuka sana kukubali kuwa kuna wazuri na wabaya pia nilichokitilia msisitizo ni kuwa kuna watu wenye kasumba ya kuona wenzao hawana mwonekano mzuri na hivyo kuwabagua na kuwadharau na nafikiri ni lazima ningeliweka hilo kwani bila hivyo nadhani watu wasingeelewa kamwe ninachokimaanisha nadhani nimeeleweka mkuu au bado sijaeleweka?
 
Last edited by a moderator:
labda naomba nichangie hapa na kuudadavua mfano aliotoa dada Kaunga mtengeneza nyumba anasimamia Mungu na nyumba inasimamia mwanadamu kwa hiyo kama mtu ana tabia ya kukosao wenzake na kumdharau wala hatendi haki na kama anataka sana kufanya hivyo basi amkosoe yule aliyemtengeneza yaani Mungu,mf huwezi fika ukakuta nyumba imekaa vibaya uanze "mmmhhh jamani na we nyumba kwa kweli umekaa vibaya aisee" nafikiri hata kama kuna watu pembeni yako watakushangaa,lakini akionekana aliyeijenga ukaanza kukosoa kazi aliyoifanya nafikiri italeta maana,sijui nimeeleweka nameless girl.
 
Last edited by a moderator:
Mr Eiyer kama umenisoma vizuri utaona kuwa nimeepuka sana kukubali kuwa kuna wazuri na wabaya pia nilichokitilia msisitizo ni kuwa kuna watu wenye kasumba ya kuona wenzao hawana mwonekano mzuri na hivyo kuwabagua na kuwadharau
Really?
Hebu angalia hii ........
Kuna wale ambao kwa kweli ni mashalaahh yaani wamejaaliwa na mungu na kwa kweli wana mwonekano mzuri sana na wala huwezi kusita kukubali kuwa mtu huyo ni mzuri mara tu umtiapo machoni,hongera kama uko kundi hili na umshukuru muumba wako.
 
kwa hali ya sasa mambo ndivyo yalivyo lakini point yangu niliyotaka ieleweke hapa mkuu mwekundu ni hata kama wewe unayo hiyo tabia nafikiri ni vyema kuiacha kwani hakuna aliyejiumba yule, unayemwona kuwa ana mwonekano mbaya hakupenda kuwa hivyo alivyo kwani hata yeye alijikuta duniani hivyo alivyo na wala hana jinsi na kwa kumdharau kwanza tunamchukiza muumba na kumhuzunisha na pia tunamkosesha amani na kumfanya ajione hafai ilhali yeye pia ni binadamu tu kama wengine anavuta hewa unayovuta,anakula chakula unachokula na mwisho wake wote tunakufa kwa hiyo si vyema kumdharau na kumbagua mtu yeyeote hasa kwa kuwa ya mwonekano wake, zaidi kama wewe umejaaliwa ni kumshukuru Mungu na kumuonea huruma yule ambaye hakujaaliwa sijui nimeelweka mkuu mwekundu?
ukija in terms ya sex.mwanamke uzuri peke yake ni utajiri tosha -mjini msingi............
 
Last edited by a moderator:
nimeiona na hiyo ni part tu ya kutaka watu waelewe kile ninachokimaanishana nafikiri hiyo haiepukiki kwani ndicho kilichopo kwenye jamii zetu kwa hiyo kwa watu kuelewa kile nachokimaanisha imenilazimu kuandika kitu kama hicho,nimeeleweka mkuu?
Really?
Hebu angalia hii ........
 
na wewe kubadilisha avatar nakusifu mara leo hivi kesho vile haya :A S 465:
 
nimeiona na hiyo ni part tu ya kutaka watu waelewe kile ninachokimaanishana nafikiri hiyo haiepukiki kwani ndicho kilichopo kwenye jamii zetu kwa hiyo kwa watu kuelewa kile nachokimaanisha imenilazimu kuandika kitu kama hicho,nimeeleweka mkuu?

Umejicondradict sana na huwezi kueleweka kabisa

Huwezi kusema hili ni duara halafu uje useme kitu kile kile ni mstatili hakafu ukiulizwa useme ulikuwa unasema hivyo ili ueleweke wakati ndiuo umesababisha usieleweke

Kama lengo lako ni kusema hakuna mbaya wala mzuri hukuwa na sababu ya kusema ile kauli ambayo inaweka wazi kuwa hata wewe unaepinga hiyo dhana na wewe unaikubali na kuitumia

Tazama tena hapa chini
 
kila mtu ameumbwa kwa mfano wa Mungu na ndiye yeye Mungu aliyeweka mapambo tofauti
kulingania na vile atakavyo hivyo hakuna mtu mbaya hapa duniani unaposema ni mbaya basi
unamkosoa Mungu na uumbaji wake, mm sioni kama kuna mtu asiyekuwa mzuri wote ini wazuri
 
nadhani nimeeleweka kama we hukunielewa na umeona nimejicontaradict then am sorry mr Eiyer lengo langu lilikuwa kufikisha ujumbe tu and am a human being as well so kukosea kupo ila nataka tu nikuambie kuwa as for mi msimamo wangu ni kuwa simdharau wala kumbagua mtu yeyote kwani wote tumeumbwa na Mungu na itapendeza watu wengi tukiwa na mtazamo wa kutodharau na kuwabagua wengine watu wote tu sawa.
 
Last edited by a moderator:

Kila mtu ameumbwa kwa mfano wa Mungu?
Kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…