Hakitaeleweka mpaka wenzetu waachiwe!

PRODIGOUS

Member
Apr 8, 2011
10
6
Hivi wenzetu wapigwe , wadhalilishwe, wadaiwe dhamana ya mali isiyohamishika inayozidi millioni moja wakati wanafunzi hao ndio wanaodai mkopo alafu tukae kimya? Tuko tayari kufa kwa ajili ya haki yetu. Ndotumeanza hivyo .......... NO RETREAT NO SURRENDER....

.
 
walitumwa wakaandamane. Kwani wangekuwa wametulia kwenye vyumba vyao askari wangewafata huko.

Wao wenyewe wamelianzisha, polisi wa kawajibu. Na nyie gomeni muone.
 
we uliandika thread kuwa unatukanwa na wajf, kwa mtindo wako huu wa kutoa commend kama hizi hautaachwa kutukana kamwe, jenga mazingira ya hoja na siyo kutanguliza hisia halafu kufikiri unaacha nyuma
 
Hamwezi kulazimisha sheria IPINDE nyie ni wasomi bana! tena majority of you are studying the law programmes. So practise what you preach, acha sheria ichukue mkondo acheni woga bana coz you are scholars.
 
Hapo ndio utakapojua kuwa hatuna serikali makini,hivi huyu mwanafunzi anapata wapi hiyo hela wakati ndio anaidai?
 
UDOM tuligoma tuliokamatwa tumesuswa mpaka leo kinyume na UDSM hongereni kwa kuwa wamoja kama adhabu bora mgawane kulikoni kuangukia mikononi mwa wanachuo wachache.MUNGU MWENYEZI AWABALIKI MFANIKIE KILE MNACHODAI.
 
Hivi wenzetu wapigwe , wadhalilishwe, wadaiwe dhamana ya mali isiyohamishika inayozidi millioni moja wakati wanafunzi hao ndio wanaodai mkopo alafu tukae kimya? Tuko tayari kufa kwa ajili ya haki yetu. Ndotumeanza hivyo .......... NO RETREAT NO SURRENDER....

.

no retreat no surrender
ndani shoka nje zengwe!

kazeni buti vijana mahitaji yenu yatasikika tu inshallah
:poa
 
walitumwa wakaandamane. Kwani wangekuwa wametulia kwenye vyumba vyao askari wangewafata huko.

Wao wenyewe wamelianzisha, polisi wa kawajibu. Na nyie gomeni muone.

unapakatwa na cameroon.
 
we uliandika thread kuwa unatukanwa na wajf, kwa mtindo wako huu wa kutoa commend kama hizi hautaachwa kutukana kamwe, jenga mazingira ya hoja na siyo kutanguliza hisia halafu kufikiri unaacha nyuma

mngese huyo. Nahisi ni alshajababu
 
Muwe makini bana maana kuna kijana hapa mtaani angekuwa kamaliza chuo siku nyingi kama miaka miwili iliyopita lakini migomo kama hii ilimfukuzisha chuo nani mtoto wa masikini ndio hivyo yupo nyumbani tu kutwa kushinda ndani TRUE so watoto wa masikini muwe makini na migomo hiyo maana ndiyo itakayokula kwenu.
 
Daini haki kwa kufuata njia sahihi na msiharibu mali mana mkifanikiwa hamuhamishwi chuo
 
Back
Top Bottom