Hakitaeleweka mpaka wenzetu waachiwe!

Hivi ni kweli wanafunzi wa UDSM mmekuwa wanasiasa, mnapiga porojo tu, hamfanyi kwa vitendo.
 
walitumwa wakaandamane. Kwani wangekuwa wametulia kwenye vyumba vyao askari wangewafata huko.

Wao wenyewe wamelianzisha, polisi wa kawajibu. Na nyie gomeni muone.

mpumbavu mkubwa wewe.
 
Hamwezi kulazimisha sheria IPINDE nyie ni wasomi bana! tena majority of you are studying the law programmes. So practise what you preach, acha sheria ichukue mkondo acheni woga bana coz you are scholars.

Sijui kama unakijua ulicho kiandika.
 
Back
Top Bottom