Hakika yajayo yanafuraisha, viongozi wa awamu hii wamelewa madaraka

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu mmeipata hii wale wazee wa qsuatter?
.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula, amesema uwiano wa moja kwa moja wa kiwanja cha 20/20 haukubaliki.
.
Waziri anasema ni kwa sababu hakuna viwanja vyenye upana na urefu wa namna hiyo, hivyo havitapata hati za umiliki.
.
Wakuu nchi hii viongozi wana miluzi mingi. Wanaotaka kuhamia Burund suafiri upo?
.
Waziri hajui kwamba wapiga kura wake wengi huko jimboni kwake wana viwanja vya 20×20. Ni kama vile kazaliwa upya huyu!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani viongozi wengi wa chama chawala wanaumwa ugonjwa mbaya kabisa halafu unaambukiza
 
Wakuu mmeipata hii wale wazee wa qsuatter?
.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula, amesema uwiano wa moja kwa moja wa kiwanja cha 20/20 haukubaliki.
.
Waziri anasema ni kwa sababu hakuna viwanja vyenye upana na urefu wa namna hiyo, hivyo havitapata hati za umiliki.
.
Wakuu nchi hii viongozi wana miluzi mingi. Wanaotaka kuhamia Burund suafiri upo?
.
Waziri hajui kwamba wapiga kura wake wengi huko jimboni kwake wana viwanja vya 20×20. Ni kama vile kazaliwa upya huyu!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
20 x 20 mbona kikubwa hivyo, vipo 20 x 12 , ajue hilo
 
Na lilivyo na mwili wa udubwana basi na akili zote ni udubwana na Dubwana huyu akitembea hata lami anaipasuka huyo, too heavy to be a leader, shame on this dubwana. Lenyewe tu 20x20 kubwa kwake na huo mwili wa upanzelu.
 
Back
Top Bottom