raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 9,182
- 26,684
Naona kunakuwa hakuna cha kupoteza mke mwenyewe anakuwa wivu tena hana maana kama watt tayari anakuwa nao anaombea ujikoroge tu mambo yaende pasu kwa pasu 😄Alaf sijui kwanini nimeambiwa kuwa wanaume wakifika miaka 40-50 huwa tunawehuka. Yaani ndo kipindi kigumu sana cha ndoa. Usaliti njenje.