igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 956
- 1,502
Kwa namna Tanzania ilivyokuwa ikiendeshwa kwa awamu 3 zilizo pita ' kuna ulazima wa dereva kubadilisha kabisa taratibu zote za uendeshaji wa taifa hili
Mimi sio mtaalamu wa uongozi bora/siwezi tamka kiongozi bora anatakiwa aongozeje, lakini kwa akili yangu ya kawaida naamini hii mifumo ya utawala kama ya wazungu imetushinda kwa 100%
Muafrika hata aharibu vibaya katika uongozi wake huwa hajiwajibishi km tunavyoona ktk mataifa mengine yanayoyielewa,' kwa hiyo km hamna wa kumuwajibisha basi ataendelea kuharibu /kiburi/dharau ' mfano
Jacob Zuma.
Tanzania ilihitaji one strong/very strong leader ambaye ataufumua uozo mkubwa kabisa kutokea katika hili shamba la bibi, ambalo kundi flani dogo la watu wasiozidi 1000 walimiliki /walinufaika na kila rasilimali ya nchi hii .
Vyama pinzani vilisema/kemea/pinga lakini majibu ya kejeli tuliyasikia wengi humu tena yakitoka kwa hawahawa mawaziri/viongozi wa juu wakisema "wana wivu hawa". "Wanaona gere hawa"
Leo kwa kudra za mwenyezi Mungu kaja ambae taifa lilihitaji ' watu wanatokwa na mapovu eti anafanya maamuzi peke yake/ sijui nchi itakosa maendeleo/ sio democracy/wanafanya kazi kwa uoga/ maagizo yote yanatoka ikulu/ anatumbua bila kufuata utaratibu/na mengineyo mengi ya ajabu
Kwa uelewa wangu ' nchi za Africa zinahitaji sana/tena sana sana viongozi wa aina ya kiongozi tulienaye Tanzania kwa sababu sisi waafrika tuna laana ambazo itachukua vizazi kadhaa kuondoka " UCHOYO/ULAFI/UKABILA/UDINI/UFISADI/UBADHIRIFU/DHARAU na laana nyinginezo nyingi hasa baada ya kupata uongozi/usimamizi .
Style ya JPM haifai kuongoza nchi km USA'UK' & likes, lakini kwa nchi kama Tanzania tunasema (He's right president at the right country at a right time) we desperately needed a very strong leader/readership.
hizo democracy zilishatushinda kitambo sana,