Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,611
MUONE TATANYARUSARE ANATAFUTAYani natamani Sana ndoa sijui kwanini ,Yani natamani niwe na mwanaume wangu nimdekeze nisumbue sumbue kumnyoshea nguo kumpikia akipendacho [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] yaniiia
Ila naona wakati bado niliambiwa jf ntapata nimejaribu naona hakuna mwenye uhitaji wa kuoa
NgojA niendeleee kusubiri [emoji41]
Kusema rahisi kuliko kutenda. Ukimpata haitashangaza hayo yote uliyoyasema usiyafanye. Ukaishia kutafuta house girl awapikie nyote wewe na mmeo.Yani natamani Sana ndoa sijui kwanini ,Yani natamani niwe na mwanaume wangu nimdekeze nisumbue sumbue kumnyoshea nguo kumpikia akipendacho [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] yaniiia
Ila naona wakati bado niliambiwa jf ntapata nimejaribu naona hakuna mwenye uhitaji wa kuoa
NgojA niendeleee kusubiri [emoji41]
hahahahaha
[emoji16][emoji16]weusi kwani Tuna kasoro gani aiseeHauna bachelor degree
Mweusi tiii
Mfupiiii
Una kitambi
Uko broke
Macho makubwa kama machungwa
Alafu unachagua mwanaume unayemtaka
Awe na kazi nzuri ai biashara kubwa
Awe mweupe mrefu asiwe na kitambi
Awe na gari zuri na nyumba
Akuoe kwa harusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa yangu utapata tabu
Hata mimi umenikosa?Yani natamani Sana ndoa sijui kwanini ,Yani natamani niwe na mwanaume wangu nimdekeze nisumbue sumbue kumnyoshea nguo kumpikia akipendacho [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] yaniiia
Ila naona wakati bado niliambiwa jf ntapata nimejaribu naona hakuna mwenye uhitaji wa kuoa
NgojA niendeleee kusubiri [emoji41]
Ngoja waneng'eneke uko PM waingie Kingi[emoji16]An intelligence agency is a government agency responsible for the collection, analysis, and exploitation of information in support of law enforcement, national security, military, and foreign policy objectives.
Pole
Kupona na nini tena?we ushapona?
Kupona na nini tena?
Crush yako kwa George Bantu?
Waowaji tupoHumu wachomoa betri wengi kuliko waowaji
Haya muwowe mtoa madaWaowaji tupo