Hakika nikipata mume ntafurahi

Hakika nikipata mume ntafurahi

Yani natamani Sana ndoa sijui kwanini ,Yani natamani niwe na mwanaume wangu nimdekeze nisumbue sumbue kumnyoshea nguo kumpikia akipendacho [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] yaniiia

Ila naona wakati bado niliambiwa jf ntapata nimejaribu naona hakuna mwenye uhitaji wa kuoa

NgojA niendeleee kusubiri [emoji41]
Ni pm
 
Mwanaume yupo ila

ni mweusi, mwembamba ila ana kamwili ka mazoezi, ana urefu wa 5.3 feet, pia ni SINGO BABA wa watoto wawili, kama ipo tayari njoo PM nikuunganishe nae
 
Yani natamani Sana ndoa sijui kwanini ,Yani natamani niwe na mwanaume wangu nimdekeze nisumbue sumbue kumnyoshea nguo kumpikia akipendacho [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] yaniiia

Ila naona wakati bado niliambiwa jf ntapata nimejaribu naona hakuna mwenye uhitaji wa kuoa

NgojA niendeleee kusubiri [emoji41]
Subira yavuta kheri mkuu
 
Waache watoto wazuri waje kwangu kwa maana ufalme wa mapenzi upo juu yao pm iko wazi uenda ukapata unaemuhitaji

Angalizo kama umetumwa na wakoromije sipati picha itakuwaje
 
Jf nayo imevamiwa na wavulana......hivyo hitaji lako haltatmia
 
Furaha za watu wengine zinasogezwa mbele kila siku, nikiwa mkubwa nitafurahi, nikimaliza la saba nitafurahi, nikimaliza sekondari nitafurahi, nikimaliza chuo nitafurahi, nikipata kazi nitafurahi, nikioa au kuolewa nitafurahi, nikizaa mtoto nitafurahi, nkistaafu nitafurahi, mwisho nikifa nitafurahi, furaha zenu mnazisogeza mbele tu kila siku, acheni mambo hayo, mwenye furaha upata mambo ya kumfurahisha usijalibu kusogeza furaha zako mbele, inaanza furaha ndio yanafuata mambo ya kukufurahisha, kuwaangalia vimbwengo wanaotuzunguka tu kunaleta furaha ya nini, usogeze furaha yako mbele, furahi tu na hayo ya kukufurahisha yatakufuata.
 
Yani natamani Sana ndoa sijui kwanini ,Yani natamani niwe na mwanaume wangu nimdekeze nisumbue sumbue kumnyoshea nguo kumpikia akipendacho [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] yaniiia

Ila naona wakati bado niliambiwa jf ntapata nimejaribu naona hakuna mwenye uhitaji wa kuoa

NgojA niendeleee kusubiri [emoji41]

Kuna wakati hao wanaume walikuwa wanakuja ukawa unasema unakula ujana, kumbe ujana sio wa kula ni wa maandalizi, sasa ndugu yangu wewe kula Uzee
 
Yani natamani Sana ndoa sijui kwanini ,Yani natamani niwe na mwanaume wangu nimdekeze nisumbue sumbue kumnyoshea nguo kumpikia akipendacho [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] yaniiia

Ila naona wakati bado niliambiwa jf ntapata nimejaribu naona hakuna mwenye uhitaji wa kuoa

NgojA niendeleee kusubiri [emoji41]
Kama wewe ni mkristo mkatoliki nakushauri hivi:
Ungama makosa yako yote kwa Padre. Wasamehe wote waliokukosea. Funga siku 6 au 9 huku ukisali kumwomba MUNGU akupe mume wa ubavu wako. Kwa uelewa wangu MUNGU atakujibu tu.
 
[emoji41]
IMG_20190816_072830.jpeg
 
Morogoro kuna gereza linaitwa MTEGO WA SIMBA! Nani anajua MTEGO wa Simba unafananaje?
 
Ukimpata utamfanyia hayo yote mumy,
C mwez tu mshachokaa na maneno kibao.

Naomba kuuliza,
HV humu watu wanaotafutaga wachumba wanapata kweli, au kuna members humu wameoana wametokea humu Jf .

Huwaga nashangaa kuona mdada yupo serious kutafuta mume humu. Ni kweli wanapata mrejesho mzur au wanapata wapenz wakisha maliza mambo yao wanaachana wanatafuta tena mwingine.

Hembu nisaidien mwenzenu
 
Hauna bachelor degree
Mweusi tiii
Mfupiiii
Una kitambi
Uko broke
Macho makubwa kama machungwa

Alafu unachagua mwanaume unayemtaka
Awe na kazi nzuri ai biashara kubwa
Awe mweupe mrefu asiwe na kitambi
Awe na gari zuri na nyumba
Akuoe kwa harusi

😂😂😂😂😂jamaa yangu utapata tabu
*** nigga this is extreme 🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom