Hakika nikipata mume ntafurahi

Hakika nikipata mume ntafurahi

coolgal

Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
58
Reaction score
75
Yani natamani Sana ndoa sijui kwanini ,Yani natamani niwe na mwanaume wangu nimdekeze nisumbue sumbue kumnyoshea nguo kumpikia akipendacho [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] yaniiia

Ila naona wakati bado niliambiwa jf ntapata nimejaribu naona hakuna mwenye uhitaji wa kuoa

NgojA niendeleee kusubiri [emoji41]
 
Yaani wanaume wote hawa JF kweli umekosa...

Eeeeh ebu endelea endelea kuyataja utakayokuwa unamfanyia mumeo nje na kumshikashila miguu labda tutashawishika.
 
Karibu sana
Yani natamani Sana ndoa sijui kwanini ,Yani natamani niwe na mwanaume wangu nimdekeze nisumbue sumbue kumnyoshea nguo kumpikia akipendacho [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] yaniiia

Ila naona wakati bado niliambiwa jf ntapata nimejaribu naona hakuna mwenye uhitaji wa kuoa

NgojA niendeleee kusubiri [emoji41]
 
Hauna bachelor degree
Mweusi tiii
Mfupiiii
Una kitambi
Uko broke
Macho makubwa kama machungwa

Alafu unachagua mwanaume unayemtaka
Awe na kazi nzuri ai biashara kubwa
Awe mweupe mrefu asiwe na kitambi
Awe na gari zuri na nyumba
Akuoe kwa harusi

😂😂😂😂😂jamaa yangu utapata tabu
 
Yani natamani Sana ndoa sijui kwanini ,Yani natamani niwe na mwanaume wangu nimdekeze nisumbue sumbue kumnyoshea nguo kumpikia akipendacho [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] yaniiia

Ila naona wakati bado niliambiwa jf ntapata nimejaribu naona hakuna mwenye uhitaji wa kuoa

NgojA niendeleee kusubiri [emoji41]
Hebu weka picha yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom