yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,659
- 3,705
Pamoja na kwamba kwa muda mrefu sasa imeshindikana kupata kazi, ila nitazidi kumshukuru na kumtukuza Mungu kwa kuwa hajaninyima vyote, kunijalia afya njema.
Sitaisahau siku dakitari aliponambia maneno yafuatayo japo sina hakika kama nitaweza kumquote kwa ufasaha,
Dr: "hali yako iko hapa tunapoita control kwa maana kwamba huna maambukizi yoyote mwilini mwako, na hivyo uko HIV -Ve. Urudi baada ya miezi mitatu".
Vijana wenzangu afya ni mtaji. Naamini ukiwa na afya njema ipo siku ndoto zako zitatimia na kama huna kazi kama mimi kuna siku utapata tu.
Tutunze afya zetu. Afya ni mtaji tosha.