hakika kila mwana JF apite hapa

hakika kila mwana JF apite hapa

Nashukuru sana ila bahati mbaya tayari nilishapata buffet la nguvu pale Serena hotel.

ha ha hongera mkuu, buffet ya serena imejitosheleza pia, ila ungekuja kupata walau suna
 
Birthday ya nani? Mithra?

birthday ya Yesu kristo, mwana wa mungu, mwanga kwa mwanga, mungu kweli kwa mungu kweli, aliyezaliwa bila kuumbwa, mwenye umungu mmoja na baba, ambaye atarudi tena kuwahukumu wazima na wafu
 
KARIBUNI kwangu, nna uhakika hamna atakayekosa wakuu


10256007_635040666549149_8916534878104228681_n.jpg


UPDATE:

kwa ambao hamjafika, mmechelewa

mwenzenu nlikuwa nakula hii kitu tamu balaa
 

Attachments

  • IMG-20141212-WA0016.jpg
    IMG-20141212-WA0016.jpg
    30.8 KB · Views: 55
Sikukuu ya kipagani ni ulevi na ugomvi kwa kwenda mbele.

Sikukuu wa Wakristo ni ya kipagani? We ndo mpagani na.1. Acha kudharau imani za wenzako. Shughulika na siaaa achana na imani za watu. Au unataka nikuchambulie imani yako?
 
Iyo picha ya masinia mengi mbona umeicopy na kuipest humu maana iko mitandaoni kitambo sana, tuwekee picha ya misosi yko hom kwa ukweli sio iyo copy banaa
 
KARIBUNI kwangu, nna uhakika hamna atakayekosa wakuu


10256007_635040666549149_8916534878104228681_n.jpg


UPDATE:

kwa ambao hamjafika, mmechelewa


safari hii maCCM hayakuwaandalia wapiga kura msosi...imekula kwao magamba!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom