Mungu hampi vyote mwanadamu, mzuri sana lakini hana mkono mmoja!
Ni mzuri kwenye macho yangu, na inawezekana aisewe mzuri kwa macho zako kwa kukosa kile unapenda[emoji23][emoji23]
Mkeo mzuri?
Uyu amna kitu..Kama mwanaume..Wanafanana Na jamaa mmoja nilisoma nae Miaka ya Nyuma shule.![]()
![]()
![]()
Na huyu tusemaje......mpaka lulu atoke kolokoloni atakuta huyu mtoto ndio habari ya mujini
Kivipi sasa wakati nimeuliza swali?naomba jibu kama unaloAcha wivu