Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,003
- 72,296
Hata mi mrembo tu nikiwekewa hayo mawigi na makeupKuna uwezekano mkubwa huwajui na hujawahi waona wasichana/wanawake/mabinti warembo
Hata mi mrembo tu nikiwekewa hayo mawigi na makeupKuna uwezekano mkubwa huwajui na hujawahi waona wasichana/wanawake/mabinti warembo
Hakika!Anabakia kuwa mrembo tu
MashaAllah!!!
Do nilikuwa sijaona hilo BOSSMungu hampi vyote mwanadamu, mzuri sana lakini hana mkono mmoja!
Kilichokufanya mwanamke nini maana huna mume..?? AHiyo picha yake ya kwanza akiwa amekaa uso wake na nywele ni kama Kasie alivokuwa mschana miaka hiyooo.
She,s so beautifulKunajarida la kimarekani niliona wanamuohoji Huyo mtoto she is a young siggle mother with one arm..!!insta kanaitwa @hash2happy
Kilichokufanya mwanamke nini maana huna mume..?? A
African beauty 4 real AFRICAN TASTE![]()
Na huyu tusemeje